Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

Kwani huo muungano waliulizwa nani hata mwana ccm anayo haki
yakikatiba kuhoji kama kuna walioangalia bunge la bajeti ya madini
na nishati lazima hakubali kuwa kuna wabunge watanganyika wanao
uchungu na mali za watanganyika wakiamua wanaweza siyo ndiyo
kila kitu mnaambia njooni mlishwe mavi ndiyo mzee mvue nguo
ndiyo mzee kamateni uchafu ndiyo mzee yaaani wabunge wanamna hiyo wanakera sana

KIKUPACHO RAHA NA UCHUNGU KITAKUPA
 
Ala! Kumbe Kuvunja Muungano kunawezekana Kikatiba!, sasa kumbe tunajadiliana nini hapa!
Kumbe wale wabunge wanaosimama Bungeni na Kutaka Muungano Uvunjike bado wako ndani ya msitari wa kisheria kwa sababu Katiba imetoa nafasi ya kufanya hivyo, ilimradi tu theluthi mbili ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri na Theluthi mbili ya Wawakilishi wawe wameridhia!.

Kumbe wabunge hao "walioapa kuilinda Jamhuri ya Muungano" bado wanaweza kushiriki katika mchakato/kura za kuuvunja huo muungano.
mimi hapo awali nilidhani kwamba mjadala wa kuwepo au kutokuwepo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni off-limit.

Maadamu katiba imeruhusu uwezekano wa kuuvunja huo Muungano tuwaache Wabunge wetu walete maoni ya wananchi bungeni kuhusiana na suala hilo, na ikibidi walete hoja binafsi ya kuwezekana kuupigia kura Muungano.

Mwaka 1964, Zanzibar hakukuwa na BLW na hilo BLM halikufanya hivyo pia.
 
Makaimati;2234667]Uhalali wa "muungano" huu haupo tangu pale ulipoundwa maana Articles of Union hazikufuatwa.
Kisiasa, wananchi hatukuulizwa ridhaa yetu iwapo tunataka au laa.
Baraza la Mapinduzi halikuridhia "muungano" huu.
Mkataba wa "muungano" huu umedaiwa Mahkamani na haukutolewa.
Huo ndio uhalali ambao nauzungumzia.
As usual hujaongea kitu ndugu yangu.
Muungano umeundwa kwa article of union. Kama haikufuatwa ni kukiuka taratibu lakini haiondoi uhalali.
Mkandara anakuuliza hivi, uliulizwa juu ya mapinduzi? Pemba na Unguja ziliwahi kuulizwa kuwa nchi ya Znbar?
Baraza la mapinduzi halikuridhia!!!!! C'om Mkaimati! kati ya wewe na Karume, Mwinyi ,Kombo, Wakili nani anajua mapinduzi zaidi
Unapokataa kutoa cheti cha ndoa mahakamani, hiyo hafuti uhalali wa ndoa
Sina uhakaika kama unajau unachongelea. Please! please, better you keep quite
Wazanzbari kwa makundi walihamia bara baada ya Mapinduzi ambayo mkono wa Nyerere umo. Walikimbia mateso waliokutishwa na wakakimbilia hapo karibu na ambapo walihakikishiwa usalama wao. Ujue kuwa Wazanzibari wapo sehemu nyingi duniani ingawa si uomgo kuwa hapo bara wako wengi. Wazanzibari wametumia fursa ambayo nyinyi hamkuiona kabla. Ni hivi karibuni tu ndio mmeanza kuzinduka katika usingizi wenu mzito
Angalai unavyoji contradict, mara Nyerere kaleta mapinduzi mara Wzbar wanatumia fursa, mara Watanganyika wamelala. Do you real know what you want to say or write. Nakushauri ulete hoja zenye mashiko, hadithi na majungu rudisha huko Mzalendo. Please, unazidi kuvuruga mada kwa hoja usizoweza kujibu. Kama mapinduzi yana mkono wa Nyerere, mnampongeza au kumlaumu? Kila mwaka jan 12 mnasherehekea, kwanini msimpongeze Nyerere kuwatoa utumwani. Yaani wewe unayeitaka Zbar huijui Zbar wala historia yake. Unajua unachokitaka lakini? Rudi mzalendo

Tuambie serikali tatu zinaendeshwaje kama wewe na waziri wako Mansoor manavyotaka, na kwanini serikali 3 na si kuvunja kabisa muungano?

Written by amini // 15/07/2011 // Habari // 17 Comments

Hii ndio ya Taifa la Tanzania, hapa ndipo kizungumkuti cha Muungano,Tanganyika kujifanya Tanzania.Jee kuna Tafauti gani hapa?

[caption id="attachment_31598" align="alignnone" width="100" caption="Hii ndio Bendera ya Tanganyika na iangalie ya Taifa la Tanzania?"] [/caption] Na Mwinyi Sadallah 15th July 2011
Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid
Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid, amevunja ukereketwa na kusema mfumo wa serikali mbili katika sura ya Muungano umepitwa na wakati na kwamba, sasa unaruhusu kuwapo kwa serikali tatu.
“Hapa mpango wa serikali moja hatutaki kulisikia. Mfumo huu butu wa serikali mbili. Sasa basi twende kwa jambo, ambalo kila mmoja wetu analizungumza, la serikali tatu na mengineyo,” alisema Mansoor katika mchango wake kwa makadirio ya bajeti ya Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati.
Alisema sura ya sasa ya Muungano imegeuka ndoana kwa Zanzibar na inatumika kuwa uwanja wa vitisho kwa Zanzibar inapodai haki zake kama nchi iliyochangia kuundwa kwa Tanzania baada ya kuungana na Tanganyika.
Alisema inashangaza kuibuka kwa viongozi katika Bunge la Muungano kushikia bango suala la mafuta kuwa si raslimali ya Zanizbar kwa maelezo kuwa yapo katika mpaka wa bahari kati ya Tanga na Zanzibar.
“Mimi sitaki kuwataja kwa majina, lakini niseme nawaonea huruma tu, wameishiwa. Lakini hawa ni wale wenye fikra za miaka hiyo ya kutisha Zanzibar hii kwamba wanaona kusimama bwana mkubwa, watu wanaanza kutetemeka,…huku hayo yamepitwa na wakati,” alisema Mansoor.
Ingawa hakuwataja, lakini Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, hivi karibuni kwa nyakati tofauti kila mmoja alitoa kauli ya kukemea tabia ya kuzungumza suala la Muungano kwa jazba na kuonya kuwa kuanzisha mfumo wa serikali tatu ni kuunda mpinzani dhidi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).
Mansoor alisema ili kuondokana na vitisho vinavyotolewa dhidi ya Zanzibar, kazi kubwa inayowakabili wawakilishi, akiwamo yeye, ni kuwandaa Wazanzibari juu ya namna ya kushiriki kwa ufanisi katika utoaji maoni ya katiba mpya.
“Tukawaelimishe na kuwaandaa Wazanzibari namna ya kujadili na kuzungumza upya makubaliano ya Muungano,” alisema Mansoor ambaye pia ni Mjumbe wa NEC, Mweka Hazina wa CCM na Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar (BLM).
Aliongeza kama wapo Wazanzibari wanaogopa kuanzisha suala hilo, kwa kauli hii yeye ndio anaanzisha mchakato huo. Kuhusu suala la mafuta na gesi asilia, alisema uamuzi uliopitishwa na BLM na Baraza la Wawakilishi (BLW) wa kuiondoa sekta hiyo katika orodha ya mambo ya Muungano ndio wa mwisho wa malumbano yanayohusu suala hilo.
CHANZO: NIPASHE
 
Na Mwinyi Sadallah 15th July 2011
Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid

Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid, amevunja ukereketwa na kusema mfumo wa serikali mbili katika sura ya Muungano umepitwa na wakati na kwamba, sasa unaruhusu kuwapo kwa serikali tatu.

"Hapa mpango wa serikali moja hatutaki kulisikia. Mfumo huu butu wa serikali mbili. Sasa basi twende kwa jambo, ambalo kila mmoja wetu analizungumza, la serikali tatu na mengineyo," alisema Mansoor katika mchango wake kwa makadirio ya bajeti ya Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati.
Alisema sura ya sasa ya Muungano imegeuka ndoana kwa Zanzibar na inatumika kuwa uwanja wa vitisho kwa Zanzibar inapodai haki zake kama nchi iliyochangia kuundwa kwa Tanzania baada ya kuungana na Tanganyika.
Alisema inashangaza kuibuka kwa viongozi katika Bunge la Muungano kushikia bango suala la mafuta kuwa si raslimali ya Zanizbar kwa maelezo kuwa yapo katika mpaka wa bahari kati ya Tanga na Zanzibar.

"Mimi sitaki kuwataja kwa majina, lakini niseme nawaonea huruma tu, wameishiwa. Lakini hawa ni wale wenye fikra za miaka hiyo ya kutisha Zanzibar hii kwamba wanaona kusimama bwana mkubwa, watu wanaanza kutetemeka,…huku hayo yamepitwa na wakati," alisema Mansoor.
Ingawa hakuwataja, lakini Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, hivi karibuni kwa nyakati tofauti kila mmoja alitoa kauli ya kukemea tabia ya kuzungumza suala la Muungano kwa jazba na kuonya kuwa kuanzisha mfumo wa serikali tatu ni kuunda mpinzani dhidi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).

Mansoor alisema ili kuondokana na vitisho vinavyotolewa dhidi ya Zanzibar, kazi kubwa inayowakabili wawakilishi, akiwamo yeye, ni kuwandaa Wazanzibari juu ya namna ya kushiriki kwa ufanisi katika utoaji maoni ya katiba mpya.

"Tukawaelimishe na kuwaandaa Wazanzibari namna ya kujadili na kuzungumza upya makubaliano ya Muungano," alisema Mansoor ambaye pia ni Mjumbe wa NEC, Mweka Hazina wa CCM na Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar (BLM).

hapa dawa ni wanzanzibar kuwa kitu kimoja kwanza wanzanzibar ni watu wastaarabu sana
hawa jamaaa watanzania bara awataiki maendeleo yenu kwani kuna kitu gani mnafaidi huku bara
kama mkiamua kwa kuwa nnchi yenu ni dogo mkifanyia bandari huru kama dubai na wajapani
wanashusha magari hapo na watu badala ya kwenda dubai wanakwenda zanzibar achana hawa tra
wanawapotezea muda tuuu hebu mkae sasa na chama cha cuf jiondoeni huku jamanihuuu ni upuuzi
mnapoteza muda na kubanwa hata mafuta wanataka kuwapora hivi amuoni au huku ni mafisadi amkeni
 
Na Mwinyi Sadallah 15th July 2011
Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid

Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid, amevunja ukereketwa na kusema mfumo wa serikali mbili katika sura ya Muungano umepitwa na wakati na kwamba, sasa unaruhusu kuwapo kwa serikali tatu.

"Hapa mpango wa serikali moja hatutaki kulisikia. Mfumo huu butu wa serikali mbili. Sasa basi twende kwa jambo, ambalo kila mmoja wetu analizungumza, la serikali tatu na mengineyo," alisema Mansoor katika mchango wake kwa makadirio ya bajeti ya Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati.
Alisema sura ya sasa ya Muungano imegeuka ndoana kwa Zanzibar na inatumika kuwa uwanja wa vitisho kwa Zanzibar inapodai haki zake kama nchi iliyochangia kuundwa kwa Tanzania baada ya kuungana na Tanganyika.
Alisema inashangaza kuibuka kwa viongozi katika Bunge la Muungano kushikia bango suala la mafuta kuwa si raslimali ya Zanizbar kwa maelezo kuwa yapo katika mpaka wa bahari kati ya Tanga na Zanzibar.

"Mimi sitaki kuwataja kwa majina, lakini niseme nawaonea huruma tu, wameishiwa. Lakini hawa ni wale wenye fikra za miaka hiyo ya kutisha Zanzibar hii kwamba wanaona kusimama bwana mkubwa, watu wanaanza kutetemeka,…huku hayo yamepitwa na wakati," alisema Mansoor.
Ingawa hakuwataja, lakini Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, hivi karibuni kwa nyakati tofauti kila mmoja alitoa kauli ya kukemea tabia ya kuzungumza suala la Muungano kwa jazba na kuonya kuwa kuanzisha mfumo wa serikali tatu ni kuunda mpinzani dhidi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).

Mansoor alisema ili kuondokana na vitisho vinavyotolewa dhidi ya Zanzibar, kazi kubwa inayowakabili wawakilishi, akiwamo yeye, ni kuwandaa Wazanzibari juu ya namna ya kushiriki kwa ufanisi katika utoaji maoni ya katiba mpya.

"Tukawaelimishe na kuwaandaa Wazanzibari namna ya kujadili na kuzungumza upya makubaliano ya Muungano," alisema Mansoor ambaye pia ni Mjumbe wa NEC, Mweka Hazina wa CCM na Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar (BLM).

Aliongeza kama wapo Wazanzibari wanaogopa kuanzisha suala hilo, kwa kauli hii yeye ndio anaanzisha mchakato huo. Kuhusu suala la mafuta na gesi asilia, alisema uamuzi uliopitishwa na BLM na Baraza la Wawakilishi (BLW) wa kuiondoa sekta hiyo katika orodha ya mambo ya Muungano ndio wa mwisho wa malumbano yanayohusu suala hilo.
CHANZO: NIPASHE
GHIBUU, nakumbuka ni Mansur huyu huyu aliyevalia njuga suala la mafuta, kwa vile najua unaelewa fika, kuhusu nguvu na jeuri ya Mhe. Mansur inakotokea mpaka kumpa ujasiri na kuzungumza kwa kiburi hoja za Muungano.

Kwa kukusaidieni tuu, yako mambo ya kujadili kuhusu muungano, na yako mambo ambayo sio ya kujadili, miongoni mwa mambo ambayo hayana mdadala, ni suala la mafuta na hili la serikali tatu.

Please mark my words, sisi bara, tumekuachieni Wazanzibari mpige kelele zote kuhusu mafuta, kwa vile mpaka sasa, mafuta hayo mnayoyapigia kelele ni yale ya kujaa kwenye kinibu tuu!, lakini ikija kukutikana Zanzibar kuna mafuta ya ukweli, ya kuchimbwa na kuchimbika, basi hao vizabi zabina wote, wanaopiga kelele, watazibwa midomo, Zanzibar si nchi, ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo mafuta ni rasilimali ya Taifa. Na hizi choko choko za kuuchokoa muungano kwa hoja za serikali tatu, zitakufikisheni pabaya, badala ya 3, tutakupeni moja, na Zanzibar itageuka mkoa wa visiwani wenye vilaya mbili za Unguja na Pemba!.

Nyie haya, endeleeni, msije kulalamika eti hamkujua, nimekwisha waambieni!.
 
GHIBUU, nakumbuka ni Mansur huyu huyu aliyevalia njuga suala la mafuta, kwa vile najua unaelewa fika, kuhusu nguvu na jeuri ya Mhe. Mansur inakotokea mpaka kumpa ujasiri na kuzungumza kwa kiburi hoja za Muungano.Kwa kukusaidieni tuu, yako mambo ya kujadili kuhusu muungano, na yako mambo ambayo sio ya kujadili, miongoni mwa mambo ambayo hayana mdadala, ni suala la mafuta na hili la serikali tatu.Please mark my words, sisi bara, tumekuachieni Wazanzibari mpige kelele zote kuhusu mafuta, kwa vile mpaka sasa, mafuta hayo mnayoyapigia kelele ni yale ya kujaa kwenye kinibu tuu!, lakini ikija kukutikana Zanzibar kuna mafuta ya ukweli, ya kuchimbwa na kuchimbika, basi hao vizabi zabina wote, wanaopiga kelele, watazibwa midomo, Zanzibar si nchi, ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo mafuta ni rasilimali ya Taifa. Na hizi choko choko za kuuchokoa muungano kwa hoja za serikali tatu, zitakufikisheni pabaya, badala ya 3, tutakupeni moja, na Zanzibar itageuka mkoa wa visiwani wenye vilaya mbili za Unguja na Pemba!.Nyie haya, endeleeni, msije kulalamika eti hamkujua, nimekwisha waambieni!.

Hivi wewe nini kinakupa jeuri ya kutuongelea sote? Mimi ni mtanganyika tena nna uhakika kabla yako na naona Muungano wa sasa una mapungufu. Zanzibar ni nchi, sisi Tanganyika yetu i wapi? Tunaitaka haraka sana. Namuunga mkono Yussuf Himid.
 
Jaman zanzbar wapewe pande lao la ardh nimechoka kuskia abar za muungano
Hivi wewe nini kinakupa jeuri ya kutuiongelea sote? Mimi ni mtanganyika tena nna uhakika kabla yako na naona Muungano wa sasa una mapungufu. Zanzibar ni nchi, sisi Tanganyika yetu I wapi? Tunaitaka haraka sana. Namuunga mkono Yussuf Himid.
 
Mkuu Tanzania sio nchi ya kwanza kuungana na muungano wao ukawa halali. Hizo taratibu ulizozisema, mimi naomba unipe nchi ambazo imezipitia zote hivyo kuweka mfumo kamili wa uhalali ktk Muungano wa nchi mbili laa sivyo ni mawazo yako wewe mwenyewe. Act of Union pia inategemea na kila nchi, Uingereza wao wameunganisha koloni zao ambazo zote zilikuwa na mtawala mmoja. Wao wana serikali lakini chini ya Utawala wa Queen, hivyo historia ya nchi hiyo ndiyo inatunga muundowa act..

Mkuu Mapinduzi ya Zanzibar yamefanyika January tarehe 12 1964, na hiyo artical of Union imepitishwa tarehe 22 April 1964 ulitaka bunge lipi lipitishe kisheria maanake sijui kama kuna bunge hapo..Ulitaka muungano ufanyike baada ya Zanzibar kufanya uchaguzi mwingine wa wabunge au huelewi kama yale yalikuwa Mapinduzi kukiondoa chama cha Hizbu hivyo kuondoa demokrasia na kuvunjika kwa vyama.

Ridhaa ipi ya wananchi unayozungumzia haswa, mbona hamsemi hata Mapinduzi yalihitaji ridhaa ya wananchi isipokuwa muungano na artical of Union hali wengi wanaochombeza leo hii walikuwa wafuasi wa Hizbu?. jamani mbona mnachanganya vitu kiasi kwamba mnaonyesha hamfahamu nini Mapinduzi na kwamba baraza la Mapinduzi ndilo pekee lilokuwa na nguvu na mamlaka ya kuamua nchi inakwenda wapi.

Mkuu Mkandara huo mfano au mifano hio unipe wewe wa nchi mbili huru kuungana na matokeo yake yakawa Serikali mbili badala ya tatu au moja.

Mfano wa Muungano wa Uingereza hapa haufai maana kwanza Uingereza, kama ulisema hizo ni koloni zake ambazo Queen ndio Head of State na huko kwenye kolonji zake akaweka Magavana.

Labda unataka kusema kuwa Zanzibar ni koloni la Tanganyika? Lakini sishangai maana hio ndio dhana yenu.

Mapinduzi yalifanyika sio ya kuondoa Chama cha Hizbu bali coalition government iliokuwepo. Inawezekana hata hujui kuwa hata ASP ilialikwa katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa lakini ikakataa. Usieyajua Mapinduzi inaelekea ni wewe maana naona umekwepa sana mambo.

Baraza la Mapinduzi ambalo lilikuwa na legislative powers halikuridhia huo "muungano" wenu. Isitoshe 'wanaochombeza' sio waliokuwa Hizbu peke yao bali ni Wazanzibari, jambo ambalo kwa fitna alizozitia Nyerere, hamkutarajia.

Hoja ya kuwa ulikuwa wakati wa Mapinduzi hapa haina mshiko maana Mapinduzi yalikwishamalizika bila ya upinzani wowote wa maana na Articles of Union zilipaswa kutekelezwa.

Mkuu Mkandara wakati umefika wa kuamua juu ya mustakabal wa "muungano", kejeli na jeuri hazifai.
 
Wazanzibari wengine bwana, wanaona issue kubwa katika maisha yao ni muungano tu! Kama kweli wana jeuri watoke wote Tanzania bara na kurudi kwao ili tuone wanamaanisha. Vinginevyo ndio ubaya wa mazoea...ukizoe kuongea ongea basi kila kukicha utakuwa mpiga stoty tu ili nawe watu wajue upo.
 
GHIBUU, nakumbuka ni Mansur huyu huyu aliyevalia njuga suala la mafuta, kwa vile najua unaelewa fika, kuhusu nguvu na jeuri ya Mhe. Mansur inakotokea mpaka kumpa ujasiri na kuzungumza kwa kiburi hoja za Muungano.

Kwa kukusaidieni tuu, yako mambo ya kujadili kuhusu muungano, na yako mambo ambayo sio ya kujadili, miongoni mwa mambo ambayo hayana mdadala, ni suala la mafuta na hili la serikali tatu.

Please mark my words, sisi bara, tumekuachieni Wazanzibari mpige kelele zote kuhusu mafuta, kwa vile mpaka sasa, mafuta hayo mnayoyapigia kelele ni yale ya kujaa kwenye kinibu tuu!, lakini ikija kukutikana Zanzibar kuna mafuta ya ukweli, ya kuchimbwa na kuchimbika, basi hao vizabi zabina wote, wanaopiga kelele, watazibwa midomo, Zanzibar si nchi, ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo mafuta ni rasilimali ya Taifa. Na hizi choko choko za kuuchokoa muungano kwa hoja za serikali tatu, zitakufikisheni pabaya, badala ya 3, tutakupeni moja, na Zanzibar itageuka mkoa wa visiwani wenye vilaya mbili za Unguja na Pemba!.

Nyie haya, endeleeni, msije kulalamika eti hamkujua, nimekwisha waambieni!.

Mansoor Yusuf Himid ni Waziri wa SMZ na kama Mhe. Ali Juma Shamhuna wote msimamo wao ni mmoja. Kama hawa wote ni Mawaziri wa SMZ, jee umemsikia Dr. Shein kawawajibisha? Huelewi tu kinachoendelea huko Zanzibar?

Huo wako ni mkwara tu na huu "muungano" mnaofaidika nao na kuulinda kwa nguvu zote za majeshi yenu ya uvamizi, siku zake zinahisabika. Bahati mbaya wewe tu lakini hata hao wakubwa wenu wanalijua hilo.

" Ukisikia kilio kimekaza, ujue maiti anatoka huyo"
 
..serikali 3 halafu ZNZ itachangia kiasi gani serikali ya muungano? umeme wa Tanesco tu unawashinda kulipia, bado mnataka gharama za kuendesha serikali ya muungano.

..solution ni kuvunja muungano tu. baada ya hapo tuanzishe mahusiano ya kibalozi, na kushirikiana kupitia East African Community
 
my take; serikali mbili tumeshindwa kuziendesha, zimejaa ufisadi na migawo ya umeme itakuwa tatu? ni ujinga kujiingiza kwenye gharama hizo, iundwe serikali moja au la zanzibar wachukue chao mapema!
 
Mhh! Mada inamaudhui tofauti, sijui Wzbar wanaelewa kinachojadiliwa hapa. Mume haribu mada to be honest. Ukumbi ni wenu
 
Excellent!
Tumekaa pamoja kwa miaka 50. Bila kujali uhalali au uharamu wa muungano kuna vitu vinaitwa Intermmariage,Cultural mingling, investment and dependence in government level. Ni kwa msingi huo lazima uwepo utaratibu wenye nidhamu katika kufikia suluhisho.

Kinachojitokeza ni watu kutaka kukiuka taratibu kwa nia ya kuchochea. Tanganyika kama Wzbar wamechoshwa na malalamiko dhidi yao.
Taratibu zinaruhusu hoja zijadiliwe, lakini utaratibu wa kuamka na kusema tuvunje muungano tena kwa yule yule aliyekubali sera za chama chake na katiba chini ya kiapo ni aina ya 'uasi'. Kwani kuna ugumu gani kufuata taratibu kufikia hitimisho?

Suala la serikali 3 kwa sasa ni ndoto. Kwa umimi wa Wzbar, Wabara nao wamejifunza. Swali ni je hizo serikali tatu zinagharamiwa vipi na zinafanyaje kazi? Nini role ya serikali ya shirikisho na rais wake hasa ukizingatia ubinafsi uliotawala.

Waswahili wanasema, mwiba hutoka mahali ulipoingilia, kwanini tutake kutoa mwiba jichoni tukijua uliingia mguuni!

Naomba upitie kijitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania - kipo hapa. Nashukuru kuwaona siku hizi kina Sitta na wenzie wameanza kureason kwa namna ile ile ya Nyerere. Ninachokisema hapa ndicho Nyerere pia alikisema. Sera ya CCM ni serikali mbili, wabunge wake 55 hawakuwa na mandate ya kuja na serikali tatu. Aliwaambia wakitaka kwenda serikali tatu, lazima kwanza wabadilishe sera ya serikali mbili.

Haya matatizo ya Muungano tunayakuza tu kwani huyu Mwalimu ambaye ndiye kigezo kikuu kwa siasa za Tanzania alishasema katika hicho kitabu chake litakapoanzishwa shirikisho la Afrika Mashariki ni vyema ziwepo serikali ya Tanganyika na serikali ya Zanzibar. EAC tumeifufua na azimio la kuunda shirikisho la Afrika Mashariki lipo. Tunasubiri nini? Au Mwalimu alipotoka katika rai yake hii ya serikali ya Tanganyika na serikali ya Zanzibar ndio zijiunge katika Shirikisho la Afrika Mashariki?
Pitia hapa https://www.jamiiforums.com/tanzani...asa-ya-kuwa-na-serikali-tatu.html#post1937665
 
Mwanakijiji Katiba haina uhalali ndio maana wanaivunja. Tuunde Katiba mpya yenye uhalali. Kisha tutawawajibisha wakiifanyia (huu) uhaini.
 
Mwanakijiji Katiba haina uhalali ndio maana wanaivunja. Tuunde Katiba mpya yenye uhalali. Kisha tutawawajibisha wakiifanyia (huu) uhaini.
Eeh-mhh Campanero nakusoma vizuri, lakini ndiyo suruali inayotusitiri, ile mpya walifanya window shopping wametoweka na hatujui tutaipata lini.
Tuheshimu japo kidogo hii yenye viraka tukifanya jitihada za kupata mpya.
 
Mwanakijiji Katiba haina uhalali ndio maana wanaivunja. Tuunde Katiba mpya yenye uhalali. Kisha tutawawajibisha wakiifanyia (huu) uhaini.

Mzee kama Katiba ya sasa wameshindwa kuillinda ni kitu gani kitawafanya waitete hiyo nyingine? Kama tunashindwa hata kuwaambia watoke Bungeni sasa tutaweza vipi huko mbeleni? Nyerere aliuliza hoja hii hii kwenye UWHT.
 
Kama haifai nayo inabadilishwa tu. Ushawahi kuona bango la TVZ "Mapinduzi Daima"?.

Hii idea kwamba katiba ni msahafu fulani ulioshushwa na mungu kama amri kumi kwa Musa inatoka wapi?

Kama watu watavunja katiba halali, sheria zichukuliwe tu. Uki address udhaifu uliopo katika katiba ya sasa, na kupata baraka za watu katika referrendum utawanyima watu sehemu kubwa ya legitimacy kukataa muungano.

You can't worry about reform just because you will be setting a precedent for further reforms. This idea is retrogressive, not progressive.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom