Kwa sasa mataifa hayo yanawezesha upinzani na wanaharakati kuivuruga nchi.Halafu hatujui tu kuwa hizi chokochoko wenye nguvu wanazipimia tu.....siku wakiona kuwa Kuna resistance ya kutosha kukabili serikali wanatufakaranisha na kutoa silaha kwa makundi yasiyofaa ili tupigane halafu wao wanakuja kuchota Mali zetu. Tuwe na akili kufanya Mambo yetu kwa wazi na weledi mkubwa
Hivi chama tawala unadhani hawavurugi....mfano unapomuwekea mtu tozo nyingiiiii hapo hujavuruga uchumi wake? Tukishajaliwa uelewa tutaheshimiana tu. Maana kwa Sasa bado nyie mnaokula bure kwa jasho letu la tozo mnajisahau kuwa wenzenu hawaumii.Kwa sasa mataifa hayo yanawezesha upinzani na wanaharakati kuivuruga nchi.