Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaotaka kurudisha makadi ya CCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fisi 2, Jun 9, 2012.

 1. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,093
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Sijui ni masikio yangu yana shida au ndio kauli yenyewe. Nimemsikia Magufuli live akitamka hayo. Wanajf mlisikia pia?
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,814
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alisema. Nakupa pole JF wataiondoa thread yako muda si mrefu-inadhalilisha ccm
   
 3. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hiyo mbona ni ghani ya kawaida ya kisukuma? e.g ligari (anamaanisha gari zuri, analisifia...), ma-vyakula, ma-nguo, n.k
   
 4. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  dada usikurupuke kama magamba walivyokurupuka leo,wameishiwa hoja na kuamua kuwaweka tot ili kumalizia mda waliolipia kwenye ma-tv,ni hv Mh Magufuli alisema nanukuu-' labda kuna watu wanataka kurudisha makadi ya ccm na vyama vingine wayalete hapa
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,107
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  alisema hayo wote tulisikia
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,597
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  nikweli alisema but nafikiri ni ulimi kuteleza baada ya kutegemea watu wengi badala yake wakakuta watu wachache. kila kiongozi wa ccm alichanganyikiwa ndo maana waliyo kuwa wanayaongea yalikuwa hayaeleweki. Mkutano wa leo umeibomoa ccm. Mia
   
 7. U

  Uswe JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,195
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  yes alisema na alipogundua kachemsha akaunganisha na vyama vingine ili kupunguza uzito
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,715
  Likes Received: 3,602
  Trophy Points: 280
  figganigga mzee wa mia. Upo?


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,483
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  haha eti MAKADI labda alimanisha makubwa makubwa hivi..hamsini/mia.
   
 10. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,483
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  haha eti MAKADI labda alimanisha makubwa makubwa hivi..hamsini/mia.
   
Loading...