Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya watu kutaka kuondoka CCM kwa sababu ya mwenyekiti kumsafisha RC Makonda.
Mimi nasema ondokeni tente ikibidi ondokeni haraka. Musee mawaziri ondokeni, muwe wabunge ondokeni. Ondokeni mtuachie CCM yetu.
Mimi naunga mkono kauli ya rais na Mwenyekiti wa chama.
Makonda amepigana sana kuhakikisha vijana hawaangamii kwa madawa ya kulevya. Najiuliza kwa nini kauli za kumsakama Makonda zianze baada ya yeye kuwataja wauza unga?
CCM ni imara itabaki kuwa imara.