antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 448
- 870
Hii ngoma ikoje nimesoma sijaelewaNamshukuru Mungu matokeo yako vizuri, tukutane May tena, vipi wewe umepona kudakwa?
Ivi mtu anaweza toka o-level direct kwenda kusoma CPA?
Na upande wa ajira itakuwaje? Ataajiriwa Kama mtumishi wa ngazi ipi ?