Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 1,924
- 3,245
kwanza kazi za skuiz ni connection. Ukiwa na connection wenye CPA watabaki wakikutizama ITV na Channel ten.
watu wanaangaika kusoma CPA na masters na bado wanatembezewa connection za kwenye chupi ili waingizwe kazini.
Watu wajitahidi kutafuta connection ila zisiwe za kwenye chupi na sio CPA.
Ukiwa na connection kuna uwezekano mkubwa usifanye interview na ukashuhudia wenzako wanavohenyeshwa na interview
Afu mwisho wa siku kazini anachukuliwa mmoja, na huyo mmoja ni mwenye connection bila interview na wote walofanyishwa interviews na CPA na Masters zao wametemwa nje.
Hiyo nishashuhudia live bila chenga.
Tafuteni connection muanze kukula maisha mapemana na sio masters wala CPA.