Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

kwanza kazi za skuiz ni connection. Ukiwa na connection wenye CPA watabaki wakikutizama ITV na Channel ten.

watu wanaangaika kusoma CPA na masters na bado wanatembezewa connection za kwenye chupi ili waingizwe kazini.

Watu wajitahidi kutafuta connection ila zisiwe za kwenye chupi na sio CPA.

Ukiwa na connection kuna uwezekano mkubwa usifanye interview na ukashuhudia wenzako wanavohenyeshwa na interview

Afu mwisho wa siku kazini anachukuliwa mmoja, na huyo mmoja ni mwenye connection bila interview na wote walofanyishwa interviews na CPA na Masters zao wametemwa nje.

Hiyo nishashuhudia live bila chenga.

Tafuteni connection muanze kukula maisha mapemana na sio masters wala CPA.
 
Ninaanza pia intermediate na ninafikiria kufanya na covenant online lakini Sina idea ya wapi pa kuanzia. Ninaomba kama hutamind unisaidie number yako PM tuwe study mates.
Covenant online gharama zao zikoje?
 
Nataka nianza foundation, nataka nipige masomo matatu 3 May naomba naomba muongozo wa masomo gani rahisi nianze nayo
Mkuu umeshapata exemptions ama unafanya yote 6? Kama unataka rahisi check hayo ndiyo 6 yenyewe rahisi ni hayo isipokua A3 na A4 ni magumu kiasi na ni must hata exemption hupati

20220118_155849.jpg
 
kwanza kazi za skuiz ni connection. Ukiwa na connection wenye CPA watabaki wakikutizama ITV na Channel ten.

watu wanaangaika kusoma CPA na masters na bado wanatembezewa connection za kwenye chupi ili waingizwe kazini.

Watu wajitahidi kutafuta connection ila zisiwe za kwenye chupi na sio CPA.

Ukiwa na connection kuna uwezekano mkubwa usifanye interview na ukashuhudia wenzako wanavohenyeshwa na interview

Afu mwisho wa siku kazini anachukuliwa mmoja, na huyo mmoja ni mwenye connection bila interview na wote walofanyishwa interviews na CPA na Masters zao wametemwa nje.

Hiyo nishashuhudia live bila chenga.

Tafuteni connection muanze kukula maisha mapemana na sio masters wala CPA.
Ni ushauri mzuri ila nadhani inategemea na kila mtu anachokiamini, mimi naamini ukiwa competent na una qualifications zinazohitajika ni rahisi kupata kazi, siamini sana kwenye connection japo inawezekana zipo ila unaweza kuta kwenye posts labda 8 wenye connection 2 then hao 6 watahitajika wenye qualifications na certification, so if you qualify then unapata pia. Kuna watu wanakula maisha na hawakuwahi kuwa na connection bali kuwa na vigezo tu vinavyohitajika.

Tusomeni tu wakuu, hadi kieleweke hata tusipopata connection tutakua tumejiongezea maarifa muhimu hata kwa kujiajiri.
 
Shida kubwa iliyopo katika uhasibu kupata mhasibu competent ni rahisi sana. Kampuni zinafanya hunting kwa big 4 staffs. Na hizo big 4 staffs nazo zinapata replacement fasta kila mwaka kwa kuchukua best students wa accounts wa vyuo vikubwa. Hasa udsm na mzumbe.

Kwa mhasibu ambaye ni average student kupata kwake kazi ni ngumu sana hata kama akiwa na cpa na acca juu.
 
Dah ok, ila naonaga wenye CPA wengi huwa lazima wapate kazi hata kama haitakua sehemu nzuri ila hawalali njaa kama wasiokua nayo kabisa.hizo big 4 zisitukatishe tamaa. Tutakutana huko huko.
 
Dah ok, ila naonaga wenye CPA wengu huwa lazima wapate kazi hata kama haitakua sehemu nzuri ila hawalali njaa kama wasiokua nayo kabisa.hizo big 4 zisitukatishe tamaa. Tutakutana huko huko.
Mm nimemaliza Degree ya Public sector Accounting and Finance, nimeambiwa ninaanza Level ya Intermediate, Hivi ni muda Gani hii offer inafutika kama Bado hujaanza?
 
Ukiwa na degree ya IT una big chance ya kufanya vizuri kwenye Audit, sasa hivi kampuni nyingi zinajiendesha kwa system, hivyo zinahitaji system auditors.

Ukipata nafasi ya kufanya kazi audit firm (practice normal audit and system audit) ukafanya CISA na CPA, you will be the most sought kwa sababu utakuwa vizuri kwenye Audit hasa kwa Banks, Telecom na Insurance companies kwa sababu ziko so systemized.

All the best.
Me nipo navuta pumzi hapa nikasome MSc financial engineering.
 
Back
Top Bottom