Wanaotaka kuagiza magari, vyombo vya muziki, vifaa vya elektronik kutoka Japan

Nipe contact za huyo jamaa yako, nitakuwa japan next month, nitahitaji container la baiskeli na gari na pikipiki.
Anaitwa Rashid Njenga,na kaka yake anaitwa Abuu Omar ni mwanamuziki yupo na Fresh Jumbe
Shinmaruko Daikan Plaza City 602,
1-634-12 Marukodori,
Nakahara-ku,
Kawasaki-shi, 211-0006
Kanagawa-ken,
JAPAN

TEL :+81-44-750-7492
FAX : +81-44-750-7492
Mobile : +81-80-3127-3518
SMS: +81-80-3127-3518
Skype : brilliantauto

URL : [url]http://brilliant-tr.com[/URL]
 
kyelaboy

mimi ninataka nikuhakikishieni kwamba kama hii kampuni na wamiliki wake watakua waaminifu basi watapata biashara mpaka wazichoke, inasikitisha kufanya biashara na kampuni za wa pakistan, sri lanka waliopo japan ambao hakuna jipya bali ni communication trust, lakini wanaweza kukupiga dana dana mzigo wako hata miezi mitatu huku wakiwa na hela yako ndipo wakutumie gari

kweli tunahitaji mtanzania shupavu tumuunge mkono, na kama huyu mtanzania ni mwaminifu mimi naomba tumsupport wana jf na watanzania wote

Watanzania tunaweza

I wish you all the best on your business endevours
Ni kweli ndugu uliyosema,kwa upande wangu nisingekuwa tayari kuwaingiza mkenge Watanzania wenzangu ambao wote tunajuana hali zetu nikubali kutumiwa kuwatapeli watanzania wenzangu,kwa mfano mliki mojawapo wa kampuni(ni ya wanandugu wawili)ni mtu anayefahamika sana hapa ni mwanamuziki anayefanyia kazi zake Japan kwa miaka mingi na kziuzia bendi nyingi vyombo vya muziki tena bendi zingine kwa mkopo mtu kama huyu hawezi kuharibu uaminifu wake na jina lake
 
Ok,
Ye anafanya biashara kwa style gani?
Nakiona kitu na kumtuma aniangalizie uhalali wake kisha nakilipia na kumpa kamisheni?
Au ananiuzia yeye kama dalali kwa kumalizana na muuzaji kisha anaweka cha juu?
 
Back
Top Bottom