Wanaotaka Advance Africa Scholarships!!!

Hao weupe ni watu wabaya sana kwani hutoa Scholarships ya kwenda kusomea yale yasiyotufaidisha watz, bali yale yanayoendelea kuwafaidisha wao tu.
Kwa mfano leo unaenda kusomea uinjinia wa Nyuklia ili ufanyie kazi wapi, kama siyo kwao, tena kwa ujira mdogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom