Wanaotafuta nyumba za kupanga suluhisho hili hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaotafuta nyumba za kupanga suluhisho hili hapa!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by EL MAGNIFICAL, Feb 19, 2011.

 1. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nyumba ! nyumba ! nyumba !!!!!!!

  nyumba nzuri inapangishwa,
  ipo gongo la mboto,
  inatazamana na jeshi la wananchi TZ !
  ipo kwenye fensi !
  ni self container !
  ina vyumba sita !
  sebule mbili !
  jiko moja na mabafu matatu !
  vyoo vya kisasa vinne !
  ina library na store mbili !
  kodi ni shiling 30000 kwa mwezi!
  mwenyenyumba anapokea hata kodi ya mwezi mmoja mmoja !!!!!!!!!
  karibu kwa maombi !!!!!!!!!!1
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  maombi nayatuma wapi?.....nahitaji hiyo nyumba ASAP
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Picha iko wapi?
   
 4. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hiyo nyumba ulioitaja nakumbuka iko inatizamana na Godown #5 lenye mabomu yaliyo expire!
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hiyo nyumba write off in your books
   
 6. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mhhh mwambie Mwamnyange na Mwinyi wapange hapo
   
 7. Mpagama

  Mpagama Senior Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  Picha iko wapi? wengine sisi vichwa vyetu vya panzi, hususan mimi. When I hear I forget, when I see I remember...
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahahaahaaa!
  Sio utani, wao ndo wakapange hapo
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hapo ndio pazuri, ingekuwa lugalo mh! Ningepata wasiwasi
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu umekosea hapa sipo mahali pa matangazo ya Biashara hapa ni mahali pa habari za picha tu, ukitaka kutangaza mambo ya biashara hili tangazo lako weka hapa bonyeza ( Matangazo madogomadogo)
   
 11. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  au unaonaje mkuu maana yote wanayaleta wao, waende wakaishi huko tuone watasema nini yakitokea kwenye familia zao
   
 12. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  teh teh nimecheka sana,jf bwana ra ra ra rahaaaaaaa!
   
 13. B

  Bulletmanpaul Member

  #13
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ongeza bei hapo jumba la kishua hilo nataka kuamia.
   
 14. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Najua joke inahusu ukosefu wa usalama Gongolamboto (milipuko ya mabomu karibuni) - lakini ukweli ni kwamba Dar nzima haina usalama. Kambi za jeshi zimetapakaa kote na bila shaka zina maghala ya silaha. Milipuko ni suala la zamu tu kama hayo maghala hayaondolewi kabisa mjini.
   
 15. a

  atieno Senior Member

  #15
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh, hata aingepangishwa sh 100 nisingepanga
   
 16. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha ha hahaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mieeeeeee!!! Makamba ndio anastahili kukaa eneo hilo!!
   
 17. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  acha uoga ww mambo hua hayaludii palepale bwana !
  za izi zamu ya wengine !
  kwa yalianza goms si mbagala bwana tuna maombi nafasi ya upendeleo kwako !!!!!!!!!!
  kwa mara ya kwanza !!!!!!!!!!!!
  kwa mara ya pili !!!!!!!!!!!!!!!!!
  kwa mara ya taaaaaaaaaaaa !!!!!!!!!!
   
 18. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndio we aliyekuleta yule jamaa ambaye mbali na udalali ni mshenga !!!!!!!!!
  nikumbushe best !
   
 19. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hata kwa viboko!
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Imeshapata mpangaji kama bado nipatie mawasiliano basi
   
Loading...