Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA

Upuuzi mwingine Kama wa ajira portal,
Watoto wa maskini ndio hujiandikisha ajira portal,
Mtoto wa waziri,Mbunge,anaperekwa tu,akaanze ajira.
Pinda alikuwa Waziri mkuu,Mara papa,tunasikia jina Godfrey Pinda,Mbunge!!jimbo lile lile aliloongoza baba yake,
Mgimwa alipofsriki,wakaleta mtoto wake awe Mbunge,mara hii kapigwa chini,Abdala Bulembo kada wa ccm,aliteuliwa kuwa Mbunge,mtoto wake Halima,akapewa viti maalum,sasa hv wote nje,
 
Hawa TAESA kazi kuzalilisha watu tu, tunatuma maombi kila siku ila hata kujibiwa hawajibu
 
Nilisajiri wakanipigia simu kuniinterview na kupewa tumaini la internship ndani ya muda mfupi ujao ikapita week, mwezi na sasa ni miezi kadhaa kimyaaaaaa.
 
Tengenezeni viwanda na kuweka mazingira mazuri kwa company binafsi kufanya biashara...itakuwa na afya kuliko hizo blaa blaa za TAESA.
 
Asanteni kwa mrejesho. Tusilalamike tu. Tutaje na mazuri yaliyoko.
 
Mimi pamoja na vijana wenzangu 15fresh from uni tulipata intenship kupitia TAESA tena mm sikujiandikisha walinipigia simu wenyewe.
The thing is real kuweni wavumilivu mnajua graduates ni wengi plus inadepend na kozi uliyosomea na uhitaji wake.
 
Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA.

Jiulize, je wewe ni:
1. Unayejali kazi (Professional)
2. Mwadilifu (Ethical)
3. Mwenye mtazamo sahihi (Right attitude)
4. Mbunifu, utakayeongeza thamani uendako (creative, add value).


Jiandikishe TAESA.
Taesa wamekaa tu kwenye ofisi wanasubiri makampuni ndo yapeleke maombi ya watu badala taesa waeke agents ambao wanakua wanazunguka kwenye mashirika hadi hukoo mikoani kabisa unakuta mahali kuna uhitaji wa watumishi na hakuna mtu anajitolea kutokana na husda za wakurugenzi ila kwa kuwa taesa niya serikali inaeza kupeleka watu wanakula tu mishaara ya bure wamekaa oisini yani
 
Mimi pamoja na vijana wenzangu 15fresh from uni tulipata intenship kupitia TAESA tena mm sikujiandikisha walinipigia simu wenyewe.
The thing is real kuweni wavumilivu mnajua graduates ni wengi plus inadepend na kozi uliyosomea na uhitaji wake.
HAUKUWA MIONGONI MWA WALIOJIANDIKISHA...?

Kwaio TAESA waliota tu, kwamba wewe ushamaliza chuo wakaamua kukuvutia Uzi ili wakupe intern sio?
 
HAUKUWA MIONGONI MWA WALIOJIANDIKISHA...?

Kwaio TAESA waliota tu, kwamba wewe ushamaliza chuo wakaamua kukuvutia Uzi ili wakupe intern sio?
Hiyo ndio sababu pekee uliyoiwaza
To cut long story short walikua wanatafuta watu wa course yangu sabab hatupo wengi ikabidi watoe tangazo nlipomcheki mtoa tangazo akawapa info zangu wakanipigia.
 
Back
Top Bottom