Wanaosoma Health Service Management wanafanya kazi zipi?

Mustafa kuna tetes kuwa wanakua bibi afya na babu afya n kwel? Den ajira n moja kwa moja au vp
Yani hapo ni Suala la Lugha Tu but cku hiz najua ni Afisa Afya Mara nyingi kazi unapatia Manispaa na ni Uhakika halafu ndo utapangiwa Wilaya Yako utakayofanyia kazi
 
hata sis wa HKL si tunaweza kusoma?
mkuu sijajua unamaanisha ipi.
lakini mimi ninayoijua inaitwa HEALTH SYSTEM MANAGEMENT inatolewa mzumbe tu hakuna chuo kingine chochote Tanzania kinachotoa zaid ya mzumbe. HKL unasoma tena bila shida. I have my friend amemaliza mwaka huu amesoma HKL
 
inatolewa pia udom..nahitaji taarifa zakutosha kutoka kwenye hii kozi..wajuzi wa mambo mtujuze
 
mkuu sijajua unamaanisha ipi.
lakini mimi ninayoijua inaitwa HEALTH SYSTEM MANAGEMENT inatolewa mzumbe tu hakuna chuo kingine chochote Tanzania kinachotoa zaid ya mzumbe. HKL unasoma tena bila shida. I have my friend amemaliza mwaka huu amesoma HKL
biology form four hawaangalii? maana nilipata E
 
Ngoja TCU watoe ile Prospectus Maana sasa hivi naona wanahangaika na Grades jitahid kupitia tovuti yao na ya mzumbe
 
biology form four hawaangalii? maana nilipata E
mkuu labda wawe wamebadilisha qualifications mwaka huu au mwaka jana lakini mwaka 2013 walikua wanaangali ufaulu wa English language na kama haujaisoma advance wanaangalia o level kama ulikua na C. Na by then ilikua inatolewa mzumbe tu sasa sijui kama na udom wameanza kuitoa
 
language olevel nilipata C na advance nimepata E nataka nikaisome advanced diploma
 
mkuu sijajua unamaanisha ipi.
lakini mimi ninayoijua inaitwa HEALTH SYSTEM MANAGEMENT inatolewa mzumbe tu hakuna chuo kingine chochote Tanzania kinachotoa zaid ya mzumbe. HKL unasoma tena bila shida. I have my friend amemaliza mwaka huu amesoma HKL
So km alivyosema mustafa kuwa ajira n moja kwa moja? Na mishahara yao vp
 
mkuu labda wawe wamebadilisha qualifications mwaka huu au mwaka jana lakini mwaka 2013 walikua wanaangali ufaulu wa English language na kama haujaisoma advance wanaangalia o level kama ulikua na C. Na by then ilikua inatolewa mzumbe tu sasa sijui kama na udom wameanza kuitoa
Naomba msaada wa kupata details za kutosha kuhusu hyo ktu
 
Back
Top Bottom