lizabriana
Member
- Jun 20, 2016
- 27
- 5
Habarini wakuu,
Hivi watu wanaosoma Health Service Management wanafanya kaz zipi baadae?
Hivi watu wanaosoma Health Service Management wanafanya kaz zipi baadae?
Wanaweza kuwepo viwandan migodin na sehemu zingine wanakuwa ni Consultant Mara nyingi based on Safety kaziniHv watu wanaosoma health servce management wanafanya kaz zip badae
Thanks tofaut na mzumbe kuna chuo kngne knatoa koz hyo?Wanaweza kuwepo viwandan migodin na sehemu zingine wanakuwa ni Consultant Mara nyingi based on Safety kazini
Sifahamu ngoja Nimuulize mdauThanks tofaut na mzumbe kuna chuo kngne knatoa koz hyo?
Mustafa kuna tetes kuwa wanakua bibi afya na babu afya n kwel? Den ajira n moja kwa moja au vpSifahamu ngoja Nimuulize mdau
Yani hapo ni Suala la Lugha Tu but cku hiz najua ni Afisa Afya Mara nyingi kazi unapatia Manispaa na ni Uhakika halafu ndo utapangiwa Wilaya Yako utakayofanyia kaziMustafa kuna tetes kuwa wanakua bibi afya na babu afya n kwel? Den ajira n moja kwa moja au vp
hata sis wa HKL si tunaweza kusoma?Yani hapo ni Suala la Lugha Tu but cku hiz najua ni Afisa Afya Mara nyingi kazi unapatia Manispaa na ni Uhakika halafu ndo utapangiwa Wilaya Yako utakayofanyia kazi
Hapanahata sis wa HKL si tunaweza kusoma?
Ni health administrator kwa ujumla mi mwenyewe naisoma hapa mzumbeHabarini wakuu,
Hivi watu wanaosoma Health Service Management wanafanya kaz zipi baadae?
mkuu sijajua unamaanisha ipi.hata sis wa HKL si tunaweza kusoma?
Mkuu mimi ninayoifahamu inaitwa HEALTH SYSTEM MANAGEMENT inatilolewa mzumbe tuHabarini wakuu,
Hivi watu wanaosoma Health Service Management wanafanya kaz zipi baadae?
biology form four hawaangalii? maana nilipata Emkuu sijajua unamaanisha ipi.
lakini mimi ninayoijua inaitwa HEALTH SYSTEM MANAGEMENT inatolewa mzumbe tu hakuna chuo kingine chochote Tanzania kinachotoa zaid ya mzumbe. HKL unasoma tena bila shida. I have my friend amemaliza mwaka huu amesoma HKL
mkuu labda wawe wamebadilisha qualifications mwaka huu au mwaka jana lakini mwaka 2013 walikua wanaangali ufaulu wa English language na kama haujaisoma advance wanaangalia o level kama ulikua na C. Na by then ilikua inatolewa mzumbe tu sasa sijui kama na udom wameanza kuitoabiology form four hawaangalii? maana nilipata E
language olevel nilipata C na advance nimepata E nataka nikaisome advanced diplomamkuu labda wawe wamebadilisha qualifications mwaka huu au mwaka jana lakini mwaka 2013 walikua wanaangali ufaulu wa English language na kama haujaisoma advance wanaangalia o level kama ulikua na C. Na by then ilikua inatolewa mzumbe tu sasa sijui kama na udom wameanza kuitoa
So km alivyosema mustafa kuwa ajira n moja kwa moja? Na mishahara yao vpmkuu sijajua unamaanisha ipi.
lakini mimi ninayoijua inaitwa HEALTH SYSTEM MANAGEMENT inatolewa mzumbe tu hakuna chuo kingine chochote Tanzania kinachotoa zaid ya mzumbe. HKL unasoma tena bila shida. I have my friend amemaliza mwaka huu amesoma HKL
Naomba msaada wa kupata details za kutosha kuhusu hyo ktumkuu labda wawe wamebadilisha qualifications mwaka huu au mwaka jana lakini mwaka 2013 walikua wanaangali ufaulu wa English language na kama haujaisoma advance wanaangalia o level kama ulikua na C. Na by then ilikua inatolewa mzumbe tu sasa sijui kama na udom wameanza kuitoa