Wanaosoma Chuo cha sanaa Bagamoyo wanapata mkopo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaosoma Chuo cha sanaa Bagamoyo wanapata mkopo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Konzogwe, Apr 8, 2009.

 1. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  (Nauliza kwa niaba) Nahitaji kusoma chuo cha sanaa Bagamoyo lakini ukweli ni kwamba sina hela kumudu fees...

  Naomba niulize kwa anayejua,hivi hamna MKOPO kama ilivyo univarsities?

  Au kama kuna namna nyingine ya msaada niambieni.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama bodi inatoa mikopo kwa chuo cha sanaa.....Bagamoyo.kaza msuli utafute ada ukasome....kama kweli wataka kusoma pale...
   
 3. Mchoraji Cyper255

  Mchoraji Cyper255 JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2015
  Joined: Nov 21, 2012
  Messages: 1,375
  Likes Received: 4,938
  Trophy Points: 280
  Naomba kiifufua hii post tena.

  Karibuni.
   
Loading...