Wanaoshangilia mgogoro kati ya Makamba, Kinana vs Utawala okokeni

Msakila KABENDE

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
511
500
Wanajf, salaam!
Hakuna mashaka kwamba kuna mgogoro unaoendelea kati ya viongozi wastaafu na viongozi walioko madarakani.

Katika mgogoro huu wengi wanazidi ama kumshauri mtawala kukandamizia hapo hapo, Wengine wako nyuma ya viongozi wastaafu na wengine wako katikati.

Kwa haraka CCM tufahamu kuwa:-
(i). Mwezi Oktoba / Novemba 2019 tutakuwa na uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa, hivyo mgogoro uliopo utatuliwe ili tusiathiri matokeo;

(ii). Oktoba 2020 huenda tutakuwa na uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani. Ushindi ktk kipindi hiki utategemea umoja na mshikamano utakaokuwepo miongoni mwa wanaccm - hivyo kabla ya kipindi hiki hebu tumalize kasoro zetu,

Je, vita hii ina mshindi?
Kwangu mimi naona vita hii ikiwa haina mshindi iwapo kila upande utashikilia msimamo wake (tukumbuke hii ni episode ya pili, ya tatu, nne nk hatujui zitakuwaje).

Kwa vyovyote vile tujitahidi kuunganisha pande hizi ili mwisho wa siku CCM ndiyo iwe mshindi sababu wote ni uzao wa CCM - wananchi tujiepushe na kumjaza Rais upepo lkn tujiepushe na kuwajaza Kinana, Makamba nk upepo badala yake tuwajenge ktk kumaliza mgogoro (huu ndio uungwana na uzalendo)

Uimara wa CCM utategemea mshikamano na umoja wetu. Migogoro siku zote ndiyo kipimo cha ukomavu - tuitatuwe na kuzimaliza.

Msakila M KABENDE
Mwananchi Mwema
19 Julai, 2019
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,023
2,000

Hakuna anyeshangilia, people are following the events reflecting their silence when all these atrocities being done to non-CCM members were and are not condemned by these old fathers lamenting now!
 
Ndukidi

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
1,441
2,000
Wanajf, salaam!
Hakuna mashaka kwamba kuna mgogoro unaoendelea kati ya viongozi wastaafu na viongozi walioko madarakani.

Katika mgogoro huu wengi wanazidi ama kumshauri mtawala kukandamizia hapo hapo, Wengine wako nyuma ya viongozi wastaafu na wengine wako katikati.

Kwa haraka CCM tufahamu kuwa:-
(i). Mwezi Oktoba / Novemba 2019 tutakuwa na uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa, hivyo mgogoro uliopo utatuliwe ili tusiathiri matokeo;

(ii). Oktoba 2020 huenda tutakuwa na uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani. Ushindi ktk kipindi hiki utategemea umoja na mshikamano utakaokuwepo miongoni mwa wanaccm - hivyo kabla ya kipindi hiki hebu tumalize kasoro zetu,

Je, vita hii ina mshindi?
Kwangu mimi naona vita hii ikiwa haina mshindi iwapo kila upande utashikilia msimamo wake (tukumbuke hii ni episode ya pili, ya tatu, nne nk hatujui zitakuwaje).

Kwa vyovyote vile tujitahidi kuunganisha pande hizi ili mwisho wa siku CCM ndiyo iwe mshindi sababu wote ni uzao wa CCM - wananchi tujiepushe na kumjaza Rais upepo lkn tujiepushe na kuwajaza Kinana, Makamba nk upepo badala yake tuwajenge ktk kumaliza mgogoro (huu ndio uungwana na uzalendo)

Uimara wa CCM utategemea mshikamano na umoja wetu. Migogoro siku zote ndiyo kipimo cha ukomavu - tuitatuwe na kuzimaliza.

Msakila M KABENDE
Mwananchi Mwema
19 Julai, 2019
Hongera mwana CCM kwa kupigania ustawi wa chama chako.
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
3,890
2,000
Tatizo kubwa la taifa letu ni wenye hekima na Busara kukaa kimya wakidhani wapo salama.Musiba&coy hakuanza leo.
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,810
2,000
Wahenga fulani walisikika wakisema,"wakitumaliza sisi watawageukia na ninyi"
Wakapuuzwa huku wakikejeliwa wapambane na hali zao!
Nasi twasema,eeh mola ongeza petroli kwenye huu moshi!
 
Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
3,041
2,000
Museveni aliuliza "huu ni 'bwato' wa kutengenezea pombe au wa kutuvusha Ziwa Burigi?" 🤔🤔🤩
...... hafafu akapotezea kwa kuulizia kitongoji cha Bwanga, wasukuma wenzangu wakacheka wakifikiria anaongelea kipara chake maana kwa kisukuma wanga (bwanga) ni upara 🤭 😂 !
....... Lakini kwa waswahili wa pwani bwana ihiii, WANGA (BWANGA) manaake ni '
WITCHES' ☠☠💀
1563437498616-png.1156379
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom