Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Kwenye nchi hii Kuna watu wanafanana akili na wabunge wa ccm Wepesi kusahau na wagumu kujifunza na kuelewa, yaani eti tumshangilie mtu alietuletea Ukimwi ukaua ndugu zetu eti kisa katuletea kinga huu ni ujinga.
Hivi mnaoshangilia sasa hivi mmesahau aliosababisha tukaibiwa ni ccm aliopitisha mikataba mibovu ni ccm kwa wingi wa wabunge wa ccm sasa kwanini niisifie na kuishangilia ccm nitakuwa zuzu kuwashangilia watu waliotufilisi sisi kama nchi tuwaone wazalendo labda nitakuwa situnzi kumbu kumbu zangu vizuri.
Ngoja niwaambie serikali ya awamu wa Sita itagundua Kuna Ufisadi ulifanyika awamu ya tano kwenye Ununuzi wa Ndege (Bombardier) na kwenye Ujenzi wa Reli ya Standard Gauge mfumo wote umeoza unatakiwa kuondoka.