mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,017
- 49,158
Hili halina ubishi wengi wanaoshabikia utawala huu ni kula kulala na wasaka tonge tu,ila wakulima wanalia,wafanyabiashara ndio usiseme,watumishi wa umma ndio kabisaaa,lakini kuna kikundi cha watu kama yule DC mbeba maboksi na waviziaji(offsider)wa nafasi za uteuzi hao wanaimba mapambio tu hali i mbaya sana hasa lumumba inasemekana mpaka kinana kaamua kujipa likizo isiyo rasmi chama kilizoea kujichotea tu,mahoteli makubwa hoi,mashirika ya ndege hoi JPM achia mkwanja utaua watu