donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,031
- 21,499
Salaam wakuu,
Kuna huu msemo nimekua nausikia mara kwa mara watu wanasema eti money cant buy happiness ila kwangu mimi I beg to differ wakuu. Lets be realistic here, pesa ina play part kubwa sana katika kuleta furaha katika sehemu mbali mbali.
Chukulia tu mfano wa familia inayoishi katika hali a chini sana ya ufukara ambapo mlo ni laka moja tu kwa siku halafu siku moja baba kazifuma akaja nyumbani na mchele, kuku na zaga nyingine kibao akamwambia mama watoto apike pilau la maana. Hebu pata picha furaha itakayokua nayo familia hiyo kwa siku hiyo.
Hata kwenye mapenzi pesa ina play part kubwa katika kuleta furaha, mambo ya shopping out going na kila kitu ni pesa. Sometimes hata mpenzi akiwa amekukasirikia af ukaingia hata shop ukamsuprise na lingerie au unyunyu flani af ukaomba na msamaha mbona fasta tu wasamehewa?
Ki ukweli mwambite a.k.a mbombenga ni chanzo kikubwa sana cha furaha katika maisha yetu haya though I agree to disagree na wengine ambao from their other perspectives wanaona kweli money cant buy happiness.
So, what do you think mkuu?