Wanaosema katika chaguzi kura zinaibiwa na viongozi kununuliwa si kweli, kiongozi bora atapata kura tu

kichoroba89

Senior Member
Oct 3, 2019
197
57
Wapo baadhi ya viongozi na wananchi wenzetu wanaosema viongozi hununuliwa na kura zinaibiwa,Watanzania wenzangu tujue kuwa kiongozi yeyote mtenda haki,mchapa kazi,na mtetezi wawanyonge hawezi kukosa kura

Kingozi mwenye weledi hata kura ziibiwe lazima atapita,pia awekiongozi anayejitambua na mwenye hekima ndani yake,kwani katika uchaguzi nguvu kubwa ipo kwa wananchi,ni vigumu kuwanunua wananchi wote

Kiongozi mtenda haki atapita tu
 
Kura ikipita halafu hajatangazwa? Na hao wanaokimbia maofisini ili fomu za wapinzani zisirejeshwe inakuwaje? je, na hao wanaokataa kuwaapisha mawakala wa upinzani inakuwaje?- Na zile kauli kwamba nikulipe mshahara halafu umtangaze mpinzani unaikumbuka?
 
kiongozi mchapa kazi lazima ashinde tu, hata kwa goli la mkono.
 
Wapo baadhi ya viongozi na wananchi wenzetu wanaosema viongozi hununuliwa na kura zinaibiwa,Watanzania wenzangu tujue kuwa kiongozi yeyote mtenda haki,mchapa kazi,na mtetezi wawanyonge hawezi kukosa kura

Kingozi mwenye weledi hata kura ziibiwe lazima atapita,pia awekiongozi anayejitambua na mwenye hekima ndani yake,kwani katika uchaguzi nguvu kubwa ipo kwa wananchi,ni vigumu kuwanunua wananchi wote

Kiongozi mtenda haki atapita tu
Umekuja lini Tanzania ndugu yangu?Uliza wenyeji.
 
Kura kaziibiwi bali hutangazwa zisizo kweli. Kuna njia ya kurudia kuhesabu Mara nyingi HD mnachoka, mwishowe mnabadilishiwa box LA kura, kuna mgombea wenu kuhongwa akakubari kirahisi, kuna msimamizi kutangaza kura za uongozo. Kimsingi tatizo sio napiga kura, Bali mchakato wa majumuisho na kutangaza. Sheria inasema baada ya kutangazwa kama hujakubali nenda mhakamani.
 
Back
Top Bottom