kichoroba89
Senior Member
- Oct 3, 2019
- 197
- 57
Wapo baadhi ya viongozi na wananchi wenzetu wanaosema viongozi hununuliwa na kura zinaibiwa,Watanzania wenzangu tujue kuwa kiongozi yeyote mtenda haki,mchapa kazi,na mtetezi wawanyonge hawezi kukosa kura
Kingozi mwenye weledi hata kura ziibiwe lazima atapita,pia awekiongozi anayejitambua na mwenye hekima ndani yake,kwani katika uchaguzi nguvu kubwa ipo kwa wananchi,ni vigumu kuwanunua wananchi wote
Kiongozi mtenda haki atapita tu