Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,793
- 71,206
Kuna huyu mtu aliye susiwa na vyombo vya habari kwa tabia aliyoonyesha na kukataa kuomba radhi. Mtu huyu amekuwa akisifiwa sana na washabiki wake kuwa ni mbunifu na mchapa kazi sana haijapata kutokea na hata yeye anajisifu kuwa huwa hashindwi jambo na amewahi kusema kuwa MTU AKIJIFANYA KUJUA ATAMFUKUZA JIJINI AONDOKE NA NDALA TUU.
Kwa nini hao washabiki wake wasi pendekeze mtu huyu apelekwe Kibiti (mkoa wa Pwani) ili akawaondoe wale wauaji wakiwa wamevaa ndala tuu? Hiki "kipaji" cha huyu mtuu kwa nini nchi isikitumie kwa manufaa kuliko kumuacha jijini akijaribu kuuza sura ambayo hainunuliki?