Wanaosema DAB ni Mkuu Mbunifu na Mchapa Kazi Wapendekeze Apelekwe Kibiti

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,549
2,000
Kuna huyu mtu aliye susiwa na vyombo vya habari kwa tabia aliyoonyesha na kukataa kuomba radhi. Mtu huyu amekuwa akisifiwa sana na washabiki wake kuwa ni mbunifu na mchapa kazi sana haijapata kutokea na hata yeye anajisifu kuwa huwa hashindwi jambo na amewahi kusema kuwa MTU AKIJIFANYA KUJUA ATAMFUKUZA JIJINI AONDOKE NA NDALA TUU.
Kwa nini hao washabiki wake wasi pendekeze mtu huyu apelekwe Kibiti (mkoa wa Pwani) ili akawaondoe wale wauaji wakiwa wamevaa ndala tuu? Hiki "kipaji" cha huyu mtuu kwa nini nchi isikitumie kwa manufaa kuliko kumuacha jijini akijaribu kuuza sura ambayo hainunuliki?
 
Cannibal OX

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
2,810
2,000
Hapana mauaji yataongezeka maradufu. Kitu cha msingi ni serikali na vyombo vinavyohusika kuweka mkakati wa "Enough is enough". Hakuna kinachoshindikana kukizuia chini ya jua labda Kifo.
 
Mj1

JF-Expert Member
Feb 21, 2017
972
1,000
Hahahhahaha mkuu unataka DAB ajiuzuru siasa kabisa? Hahahahahaha
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,549
2,000
Utaliwa kiboga mangi, hebu lisha nguruwe achana na maisha ya watu.
Mbona unashoboka na mie wewe punga? Ndio shida ya kuingia mjini umechelewa na kujiona ni mjuaji wakati kila mmoja anakudharau. Jiheshimu hata kama unatumia jina bandia. Jiulize kwa nini watu wengine wanaheshimika humu JF hata kama majina wanayotumia sio halisi?
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
12,204
2,000
Kuna huyu mtu aliye susiwa na vyombo vya habari kwa tabia aliyoonyesha na kukataa kuomba radhi. Mtu huyu amekuwa akisifiwa sana na washabiki wake kuwa ni mbunifu na mchapa kazi sana haijapata kutokea na hata yeye anajisifu kuwa huwa hashindwi jambo na amewahi kusema kuwa MTU AKIJIFANYA KUJUA ATAMFUKUZA JIJINI AONDOKE NA NDALA TUU.
Kwa nini hao washabiki wake wasi pendekeze mtu huyu apelekwe Kibiti (mkoa wa Pwani) ili akawaondoe wale wauaji wakiwa wamevaa ndala tuu? Hiki "kipaji" cha huyu mtuu kwa nini nchi isikitumie kwa manufaa kuliko kumuacha jijini akijaribu kuuza sura ambayo hainunuliki?
Huko atamaliza tatizo kabisa mana jamaa ni jasiri kuliko akili yke
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom