Wanaosahihisha mitihani wagoma baada ya kuchakachuliwa posho zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaosahihisha mitihani wagoma baada ya kuchakachuliwa posho zao

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MADORO, Dec 2, 2011.

 1. M

  MADORO Senior Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Waalimu wanaosahihisha mitihani katika Chuo cha Ualimu, Mandaka katika Mkoa wa kilimanjaro wameingia mgogoro na serikali na wanataka kugoma kuendelea kufanya kazi hiyo baada ya pesa waliyokuwa wameandikiwa katika barua zao kuchakachuliwa na kupewa ziingine kinyume cha makubaliano. Pesa zimepungua toka 900 kwa kila karatasi ya mtihani hadi 700 kwa kila karatasi kwa waalimu wote waliopo huko. Kwa mujibu wa idadi yao na hesabu ya pesa wanayokatwa wanasema ikikatwa yote yaweza kufikia milioni 300. Wenye taarifa zaidi waliopo pale watujuze zaidi.
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Chakachua mshiko kama kawa.
   
 3. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Jamani ualimu si ni wito sasa why wagome?
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kila mbuzi anakula kutokana na urefu wa kamba yake.
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  wito ilikuwa zamani wakati kila kitu kilikuwa bure,kwa sasa ni tofauti sana mambo yamebadilika maisha yamekuwa tofauti na zamani vitu vipo juu na maisha yamepanda

  so wapewe haki yao kama walivyo kubaliana
   
 6. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ina maana na wewe cku hizi umekuwa mfupi wa mawazo kiasi hiki??? Pole sana!!
   
 7. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Chakachua nikuchakachue! pwa!!
   
Loading...