Wanaopenda kula kula kwani hamshibi?

Minyoo ni sababu mojawapo.

Pili, kula ni mazoea.Ukijizoesha kula sana itakua tabia na ukijizoesha kula kidogo utazoea na utakua unashiba kwa kidogo hichohicho.
 
Tofautisha kula kushiba na kula starehe, amna asiependa kula kama sterehe ila tatizo pesa yaani kula kistarehe hata kama umeshiba unaweza kula mfano ukishiba ukiwekewa ugari au ubwabwa hauwendi ila ukiwekewe soseji hapo zinaenda.

Kula ya hapa tunazungumzia ya kustarehe
 
Mkuu huo ni ulafi, na sio starehe.
 
Mkuu iyo mentality ya maskini wengi kwasababu ya uchumi wao hauwasapoti.
Tofautisha kula kushiba na kula starehe, amna asiependa kula kama sterehe ila tatizo pesa yaani kula kistarehe hata kama umeshiba unaweza kula mfano ukishiba ukiwekewa ugari au ubwabwa hauwendi ila ukiwekewe soseji hapo zinaenda.

Kula ya hapa tunazungumzia ya kustarehe

Mkuu, huyu aliyetoka kula ugali na kushiba halafu akaonyeshwa soseji akataka kuzila tena ndiye maskini.
 
Mkuu usimakinike na soseji uwo ni mfano tu wakutaka kukuonesha tofati ya kula kishiba na kula starehe boss, ukifikili sana utajua namaanisha nini binadamu hatakiwi kula vyakula basic tu ambavyo kutwa mara tatu kwaajili ya kishiba hapo kati inabidi ale vyakula vingi ambavyo sio basic kwaajili ya kushiba bali kienjoy tu nafsi yake mfano Juice fresh pale, yai la kukaanga pale, karanga ya mayainpale, hamu ya soda, maziwa pale, snanks na bite nk kwahiyo utavyopenda wewe ila sasa kitanzania tunasema urafi ila sikweli ni mentality tuliojiwekea kwasababu ya umaskini wetu wengi boss.
 
Jitu unakuta umepanda nalo basi ktk safari mara limenunua mahindi ya kuchemsha linamenya maganda linakula.
Mara mishikaki, mara juisi daah alafu lina mwili mkubwa.
Hivi ni kwa nini mtu usile ukashiba halafu utulie!
😂😂😂😂✌✌✌ nakufa mie kwa kicheko
 
hii mada ninasemwa mm hapa.. nimetoka kula saa7 ila ubongo unaniambia my dear kwa droo kuna biscuits.. hv hapa nakula biskut jaman..haizid saa 10 mdomoni nitakuwa na kitu mdomon😤😤😤😤
sijui ni nn..jana nimetoka hom mchana nimekuka fresh nafika mjini nikanunua mishikak😤😤😤 dadek..
 
Habari wadau,

Aisee wakuu, kuna watu wanapenda kula kula yani utakuta ratiba yake ya siku ameshakula makorokoro kibao.

Utakuta asubuhi saa 1 kanywa chai na kiporo , alafu ikifika saa 4 anakunywa supu na chapati 2, ikifika saa 5 anakula sambusa 2 na soda.

Ikifika mchana saa 8 anakula ugali na samaki na juice, ikifika saa 8 anakula karanga au keki ikifika saa 10 akikutana na muhindi anakula.

Usiku anakula tena lisahani la wali na nyama na juice.

Wadau nini chanzo cha kulakula kila saa? Ni ulafi au?
IMG-20181125-WA0096.jpg

Tanroads wamenitembelea nitapunguza
 
ISLETS amenena jambo hapo..kulakula nako ni maradhi ya kiakili , mara nyingi huwapata watu wanaoendea kupona mara watumiapo dawa especialy za depression so ipo hivo sio hulafi tu
 
Habari wadau,

Aisee wakuu, kuna watu wanapenda kula kula yani utakuta ratiba yake ya siku ameshakula makorokoro kibao.

Utakuta asubuhi saa 1 kanywa chai na kiporo , alafu ikifika saa 4 anakunywa supu na chapati 2, ikifika saa 5 anakula sambusa 2 na soda.

Ikifika mchana saa 8 anakula ugali na samaki na juice, ikifika saa 8 anakula karanga au keki ikifika saa 10 akikutana na muhindi anakula.

Usiku anakula tena lisahani la wali na nyama na juice.

Wadau nini chanzo cha kulakula kila saa? Ni ulafi au?

chama cha minyonyoo na matumbo mfuko
 
Wa Daa Ni noma kwa kulakula yaani utakuta barabarani mwanamke anjitafuna Miguu ya kuku?Mara mikorokoro gani huko! Nao kaka zao hivyohivyo ili mradi kerooo tu
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom