Wanaopajua dodoma mniambie.

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,188
Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa huku. Thanx.
 
Kumbuka juzi ulisema unaishi Dom, na kwamba uliomba gatherings za wanaJF zije pia Dom...
Now inakuwaje mwenyeji wa huko utafute information huku mtandaoni badala ya kuchukua bodaboda hapo na kuzungukia?
 
hujatuambia dodoma unasoma au ni mfanya kazi na unaishi maeneo gani!maana tunaweza kukutajia viwanja vizito kumbe ukawa mwanafunzi na fedha yenyewe ya bodi ya mkopo ni mawazo matupu!tuambie wewe ni nani na unafanya kazi gani na dodoma umeenda kufanya nn!
 
Kumbuka juzi ulisema unaishi Dom, na kwamba uliomba gatherings za wanaJF zije pia Dom...
Now inakuwaje mwenyeji wa huko utafute information huku mtandaoni badala ya kuchukua bodaboda hapo na kuzungukia?

ulininukuu vibaya. Nipo dom kwa sasa. Ni mgeni ila nitakuwepo huku kwa muda mrefu kidogo na hata hyo 2gether party wakiiorganize huku nitaweza shiriki.
Una kumbukumbu nzuri.
 
Aah we zunguka zunguka hapo mjini, ila nje ya mji kidogo kuna MoteL moja nzuri barabara kuu kelekea Mzani mpya,Nyerere square nyuma jengo la chama cha kijani kuna sehemu utapata maakuli na mishkaki.
Sijajua uwezo wako kifedha ila Lodge/Hotel zipo nyingi kuanzia 12000/= hadi 40000/=

Karibu Nkuhungu,Karibu Dodoma.
 
Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa huku. Thanx.
Saint Gaspar panafaa kulala au Royal village.
Club nzuri ni Club 84.
Nyama choma nenda Chako ni Chako(usiku ni vizuri zaidi).
Kuku wa kurosti nenda Mpepo Bar.
Supu asubuhi jaribu Rose garden.
Totoz ...nenda UDOM kama ukikosa CBE. Nawasilisha mkuu.
 
Eleza maeneo unayoishi ili tuweze kukupa kiwango cha hadhi yako tusije kukupeleka Chang'ombe bure!
 
Saint Gaspar panafaa kulala au Royal village.
Club nzuri ni Club 84.
Nyama choma nenda Chako ni Chako(usiku ni vizuri zaidi).
Kuku wa kurosti nenda Mpepo Bar.
Supu asubuhi jaribu Rose garden.
Totoz ...nenda UDOM kama ukikosa CBE. Nawasilisha mkuu.

hivi mnadani bado kupo?
 
Mpaka Totozi
 
Aah we zunguka zunguka hapo mjini, ila nje ya mji kidogo kuna MoteL moja nzuri barabara kuu kelekea Mzani mpya,Nyerere square nyuma jengo la chama cha kijani kuna sehemu utapata maakuli na mishkaki.
Sijajua uwezo wako kifedha ila Lodge/Hotel zipo nyingi kuanzia 12000/= hadi 40000/=

Karibu Nkuhungu,Karibu Dodoma.

ahsante mkuu. Pa kukaa ninapo ila panachosha kukaa sehemu moja daily
 
nkuhungu ipi mzee?kumbe tupo wengi huku
 
tuambie wewe ni nani na unafanya kazi gani na dodoma umeenda kufanya nn!

he! Naomba ujibu nilichokuuliza. Hayo mengine ni mambo yangu binafsi. Haiusiani na ninachotaka. Pole kama nimekukwaza.
 
ahsante mkuu. Pa kukaa ninapo ila panachosha kukaa sehemu moja daily
Kama una usafiri jaribu kwenda mnadani Msalato jumamosi huwa unanoga sana, hapo utajichanganya na wapiga kura ambao hawajui ufisadi wala maisha bora, wao nyama inatosha! it's really fun...uta-enjoy mkuu.
 
Nenda royal village, kuna 84 club.. Rock hotel, Rif one ipo Area C..
Dear Mama..
Carebean kwenye kitimoto, ipo nyuma ya bunge..
Chako ni chako.. Kito hotel, Savanah..
Pote pako poa..
 
Saint Gaspar panafaa kulala au Royal village.
Club nzuri ni Club 84.
Nyama choma nenda Chako ni Chako(usiku ni vizuri zaidi).
Kuku wa kurosti nenda Mpepo Bar.
Supu asubuhi jaribu Rose garden.
Totoz ...nenda UDOM kama ukikosa CBE. Nawasilisha mkuu.

huko kote utulivu upo au?
 
Nenda royal village, kuna 84 club.. Rock hotel, Rif one ipo Area C..
Dear Mama..
Carebean kwenye kitimoto, ipo nyuma ya bunge..
Chako ni chako.. Kito hotel, Savanah..
Pote pako poa..

ahsante mpenda p.
 
Back
Top Bottom