Kumbuka juzi ulisema unaishi Dom, na kwamba uliomba gatherings za wanaJF zije pia Dom...Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa huku. Thanx.
hujatuambia dodoma unasoma au ni mfanya kazi na unaishi maeneo gani!maana tunaweza kukutajia viwanja vizito kumbe ukawa mwanafunzi na fedha yenyewe ya bodi ya mkopo ni mawazo matupu!tuambie wewe ni nani na unafanya kazi gani na dodoma umeenda kufanya nn!Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa huku. Thanx.
Kumbuka juzi ulisema unaishi Dom, na kwamba uliomba gatherings za wanaJF zije pia Dom...
Now inakuwaje mwenyeji wa huko utafute information huku mtandaoni badala ya kuchukua bodaboda hapo na kuzungukia?
Saint Gaspar panafaa kulala au Royal village.Wapenzi naombeni kujua maeneo ya kujidai/mtoko katika mkoa wa dodoma. Napenda sehemu tulivu ambazo hazina makelele. Nataka niwe najipa mtoko angalau weekend katika kipindi chote nitakachokuwa huku. Thanx.
Saint Gaspar panafaa kulala au Royal village.
Club nzuri ni Club 84.
Nyama choma nenda Chako ni Chako(usiku ni vizuri zaidi).
Kuku wa kurosti nenda Mpepo Bar.
Supu asubuhi jaribu Rose garden.
Totoz ...nenda UDOM kama ukikosa CBE. Nawasilisha mkuu.
kwa age yako nadhani nk disco itakufaa
Saint Gaspar panafaa kulala au Royal village.
Club nzuri ni Club 84.
Nyama choma nenda Chako ni Chako(usiku ni vizuri zaidi).
Kuku wa kurosti nenda Mpepo Bar.
Supu asubuhi jaribu Rose garden.
Totoz ...nenda UDOM kama ukikosa CBE. Nawasilisha mkuu.
Aah we zunguka zunguka hapo mjini, ila nje ya mji kidogo kuna MoteL moja nzuri barabara kuu kelekea Mzani mpya,Nyerere square nyuma jengo la chama cha kijani kuna sehemu utapata maakuli na mishkaki.
Sijajua uwezo wako kifedha ila Lodge/Hotel zipo nyingi kuanzia 12000/= hadi 40000/=
Karibu Nkuhungu,Karibu Dodoma.

Kama una usafiri jaribu kwenda mnadani Msalato jumamosi huwa unanoga sana, hapo utajichanganya na wapiga kura ambao hawajui ufisadi wala maisha bora, wao nyama inatosha! it's really fun...uta-enjoy mkuu.ahsante mkuu. Pa kukaa ninapo ila panachosha kukaa sehemu moja daily