Wanaonishi Dar vijijini hawa hapa

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Kama eneo unalo ishi lipo hapa basi unaishi Dar vijijini

1. Mtaani kwako usiku wanacheza ngoma za kizaramo.

2. Hakuna plan ya kufikiwa na mradi wa BRT.

3. Mnapopanda daladala mnaingilia dirishani.

4. Ukitaka kwenda kwenu toka mjini unavizia daladala la mjini kisha unageuza nalo.

5. Eneo unalo ishi kuna bar nyingi kuliko supermarket.

6. Unatumia zaidi ya saa 1 barabarani kufika unakoishi toka mjini.

7. Eneo unalo ishi bajaji na bodaboda ni nyingi kuliko magari.

8. Kondakta wa daladala la eneo lako anatembea na kidumu cha maji ya kuoshea uso kuondoa vumbi.

9. Wanawake wanaovaa nywele bandia na kucha bandia ni wengi kuliko wanawake wasio jipamba wa vitu bandia.

10. 10 % au zaidi ya wanaoishi eneo lako hawana sehemu ya kupark magari yao wanapark kwa majirani.

11. Mvua zikinyesha basi mafuriko hayakosi.
 
Kama eneo unalo ishi lipo hapa basi unaishi dar vijijini

1. mtaani kwako usiku wanacheza ngoma za kizaramo
2. Hakuna plan ya kufikiwa na mradi wa BRT
3. Mnapo panda daladala mnaingilia dirishani
4. Ukitaka kwenda kwenu toka mjini unavizia daladala la mjini kisha unageuza nalo
5. Eneo unalo ishi kina bar nyingi kuliko supermarket
6. Unatumia zaidi ya saa 1 barabarani kufika unako ishi toka mjini
7. Eneo unalo ishi bajaji na bodaboda ni nyingi kuliko magari
8. Kindakta wa daladala la eneo lako anatembea na kidumu cha maji ya kuoshea oso kuondoa vumbi
9. Wanawake wanao vaa nywele bandia na kucha bandia ni wengi kuliko wanawake wasio jipamba wa vitu bandia
10. 10 % au zaidi ya wanao ishi eneo lako hawana sehemu ya kupark magari yao wanapark kwa majirani .
Una mpango wa kutusema watu wa Mbagala eti?Heri yako unaeishi mjini
Wataka wakaishi wapi
 
Kama eneo unalo ishi lipo hapa basi unaishi dar vijijini

1. mtaani kwako usiku wanacheza ngoma za kizaramo

2. Hakuna plan ya kufikiwa na mradi wa BRT

3. Mnapo panda daladala mnaingilia dirishani

4. Ukitaka kwenda kwenu toka mjini unavizia daladala la mjini kisha unageuza nalo

5. Eneo unalo ishi kuna bar nyingi kuliko supermarket

6. Unatumia zaidi ya saa 1 barabarani kufika unako ishi toka mjini

7. Eneo unalo ishi bajaji na bodaboda ni nyingi kuliko magari

8. Kondakta wa daladala la eneo lako anatembea na kidumu cha maji ya kuoshea uso kuondoa vumbi

9. Wanawake wanao vaa nywele bandia na kucha bandia ni wengi kuliko wanawake wasio jipamba wa vitu bandia

10. 10 % au zaidi ya wanao ishi eneo lako hawana sehemu ya kupark magari yao wanapark kwa majirani .
Buguruni,mwananyamala,Tandale,Tandika kuna vigodoro.Je ni vijijini??Tembea Dar mdau
 
Acha matusi wewe, huko shamba ndo kunajengwa makazi ya ukweli kwa ss, nan anataka kubanana ss hv!
 
Kama eneo unalo ishi lipo hapa basi unaishi dar vijijini

1. mtaani kwako usiku wanacheza ngoma za kizaramo

2. Hakuna plan ya kufikiwa na mradi wa BRT

3. Mnapo panda daladala mnaingilia dirishani

4. Ukitaka kwenda kwenu toka mjini unavizia daladala la mjini kisha unageuza nalo

5. Eneo unalo ishi kuna bar nyingi kuliko supermarket

6. Unatumia zaidi ya saa 1 barabarani kufika unako ishi toka mjini

7. Eneo unalo ishi bajaji na bodaboda ni nyingi kuliko magari

8. Kondakta wa daladala la eneo lako anatembea na kidumu cha maji ya kuoshea uso kuondoa vumbi

9. Wanawake wanao vaa nywele bandia na kucha bandia ni wengi kuliko wanawake wasio jipamba wa vitu bandia

10. 10 % au zaidi ya wanao ishi eneo lako hawana sehemu ya kupark magari yao wanapark kwa majirani .
Daaah! Hahahaaaa! Hiyo namba 8 nimecheka sanaaaaa...
 
Hebu nitajie sehemu moja Dar hii ambayo ina Supermarket nyingi kuliko Bar.....................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom