Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,480
- 5,506
Wengi huwa hawajui hata kama wamevininginiza.Ila kwa kawaida sio sawa ni aina flani ya ushambaHuwa nashindwa kuwaelewa jamaa ambao huwa wanatoka mazingira ya ofisi zao wakiwa bado wamening'iniza vitambulisho vyao.
Yaani utawakuta mtaani wanatembea navyo hata huko migahawani bado wanavyo tu.
Huwa inakua ni mikwara tu.
Au ni Usongo baada ya kusota mtaani Bila ajira kwa muda mrefu
Ama ni jambo la kawaida tu.