Wanaongalia ITV sasa nisaidie jambo hili pls.?

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Wakati nasubiri habari sasa ITV, wanapiga nyimbo moja ya kusifia ITV waimbaji ni Dar Modern Taarabu.

Lakini muimbaji mkuu ni Bint Sikuzani pls naomba mwenye mawasiliano na binti huyu anipatie PM pls over pls...na jambo zuri naye sanaa

Asante sanaa.
 
Samahani mzee, mbona lugha yako imekaa kifataki fataki??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom