Wanaomtetea Kikwete waorodheshe hapa mambo ya msingi aliyofanya mpaka sasa!

Wandugu,
Kumekuwa na malumbano kuhusu uwezo wa JK kuongoza nchi. Wengine wanamsifu na wengine wanajuta kuwa na rais wa aina yake. Mnaonaje tukiorodhesha hapa mambo ya msingi aliyofanya jk tangu alipochukua usukani wa kuongoza nchi yetu. Wenye kumbukumbu nzuri waorodheshe hapa. Yawe ni mambo ya msingi tu.
sijui nikuite zezeta? Aggghhh!!!!!!
Mbona hayo tumeshayajadili sana humu. Huna jipya, Acha uvivu na tumia sehemu ya muda wako kujikumbusha threads zilizopita, siokutaka msaada kwetu sisi wa kukukumba kwa sababu ya uvivu wako.
 
maendeleo ya nchi hayawezi kutegemea nguvu ya mtu mmoja tu. ni lazima kila mmoja wetu katika nafasi yake atimize wajibu ndiyo tutaona maendeleo.
wengi humu wana mavyeo makubwa na wakati mwingi wanakuwa ni watu wa malalamiko lukuki huku wakiwa hawatimizi wajibu wao. unaweza kuona baadhi ya kero zinazoongelewa zinawahusu baadhi yetu humuhumu JF.
udhaifu wa serikali unatokana pia na udhaifu wa wananchi. historia inaonyesha nchi zilizo na maendeleo kuna push kubwa toka kwa wananchi, na watu wanafanya kazi hawakai vijiweni kama bongo.

Acha porojo wewe. Kama ndivyo kungewa na kuwa na rais. Wananchi wanahitaji uongozi. Siyo kulta brabra zako hapa!
 
Duuu, kumbe kuna mambo mengi sana ya msingi aliyotufanyia watanzania!!! Ningekuwa na uwezo ningebadili katiba ili agombee tena ifikapo 2015.

:A S thumbs_down:Wacha kutania wewe Dmbegu, miaka 6 tayari tumeshamchoka halafu unasema kama ungekuwa na uwezo wa kubadilisha katiba unataka Fisadi Kikwete agombee tena? Hebu omba samahani kwanza kwa watanzania. Mpaka tukifika 2015 nchi itakuwa sagalabagala na tutakuwa hoi bin taabani. Mimi nataka hata leo aachie ngazi awapishe wanaume wanaoweza kuongoza na kuleta maendeleo ya nchi kuliko ili Juha Kikwete:twitch:
 
kaweka lami bararbara ya qbar through ccbrt hospital mpaka kanisa la msasani pale...:coffee: that place was terrible
 
I loughed so loud my daughter was concerned!!! Ni kweli kabisa

jamaa anashindwa ku-solve ishu muhimu zinazoyumbisha nchi. lakini mambo ya kawaida kama watu kuandamana kudai haki zao anayamaliza kwa nguvu kubwa ya FFU.
 
Mambo mazuri

1. Kwenda nchi za nje, kuangalia NBA na kubembea
2. Kuleta udini
3. kununua waandishi wa habari
4. Kuikuza rushwa

Mambo mabaya ya Kikwete

1. Kutaka uundwaji wa katiba mpya
2. wabunge wake kuiba kura majimboni
3

Hii nimesema kwa mujibu wa akili na brain ya Kikwete! Kwa mujibu wa akili na uwezo wangu, I wouldnt dare to discuss anything regarding the performance of Kikwete, he failed long before he though of being president!!! what more shall we discuss

Nimekutana na wanafunzi wengi wa sekondari wasichana, Jangwani, Zanaki, Tambaza, kisutu n.k YOU WILL NEVER BELIEVE THEY ADORE HIM HANDSOMELY et mzuri wa sura na anavutia, Believe me kwa mwenye akili timamu hata hawa wanaomsifia wako delusional na aidha uzuri au protocal za kirais...... watoto wa kike wameheuka kwa JK research it........

So hao wanaomsifia unaweza kukuta wengi ni baadhi ya akina dada, hata kama ID yake humu ni ya kiume, who knows?

mkuu umejibu kwa chuki kubwa sana,yaani hata uhuru wa wewe kutoa maoni hujaona kuwa ni mambo mazuri aliyoyafanya Kikwete? punguza jazba na tambuwa kuwa watu kama nyie ndio tuna wategemea kuwa viongozi wetu wa sasa na baadae lakini majibu yako hayana muunganikiko na brain yako

muuliza swali ana maana nzuri sana lakini waonekana unajibu kama ulikuwa umebanwa na na jambo fulani so unawahi kwenda kulitowa jambo hilo,tusiwe wachoyo wa kusifia,hivi ungekuwa na raisi kama hu jitao kweli ungeweza hata kutoa maoni kama haya? mpe sifa hiyo ya uhuru wa vyombo vya habari

msema ukweliii hapendwiiiii daimaaaa:clap2:
 
Acha porojo wewe. Kama ndivyo kungewa na kuwa na rais. Wananchi wanahitaji uongozi. Siyo kulta brabra zako hapa!
Mkuu, kama watanzania tungekuwa makini Kikwete asingeweza kututawala hata kwa miaka 2....
Watanzania ni waoga na wenye ushabiki wa kijinga....angalia swala la richmond, Meremeta, EPA, mikataba mbalimbali ilivyo shughulikiwa/inavyoshughulikiwa kama ingekuwa nchi nyingine CCM tungeshaiondoa...
 
  1. kuhonga vyeo kwa hawala zake
  2. kutoa nadhifa mbali mbali za kiserikalina mashirika ya umma kwa maswahiba na ndugu zake wenye uwezo mdogo
  3. kujichekesha ovyo kama mwehu wakati watu wana shida za msingi
  4. n.k
 
1)Kauza Kigamboni kwa Bush,
2)kaunza Leriondo kwa waarabu,
3)Ametoa ahadi nyingi zaidi bila kuzitekeleza.
4)Kajenga UDOM.
 
Wandugu,<br />
Kumekuwa na malumbano kuhusu uwezo wa JK kuongoza nchi. Wengine wanamsifu na wengine wanajuta kuwa na rais wa aina yake. Mnaonaje tukiorodhesha hapa mambo ya msingi aliyofanya jk tangu alipochukua usukani wa kuongoza nchi yetu. Wenye kumbukumbu nzuri waorodheshe hapa. Yawe ni mambo ya msingi tu.
<br />
<br />

1. Amechakachua
 
mkuu umejibu kwa chuki kubwa sana,yaani hata uhuru wa wewe kutoa maoni hujaona kuwa ni mambo mazuri aliyoyafanya Kikwete? punguza jazba na tambuwa kuwa watu kama nyie ndio tuna wategemea kuwa viongozi wetu wa sasa na baadae lakini majibu yako hayana muunganikiko na brain yako

muuliza swali ana maana nzuri sana lakini waonekana unajibu kama ulikuwa umebanwa na na jambo fulani so unawahi kwenda kulitowa jambo hilo,tusiwe wachoyo wa kusifia,hivi ungekuwa na raisi kama hu jitao kweli ungeweza hata kutoa maoni kama haya? mpe sifa hiyo ya uhuru wa vyombo vya habari

msema ukweliii hapendwiiiii daimaaaa:clap2:

Asante dear, hata mimi najina ninamchukia Kikwete kuliko kawaida mpaka nimepitiliza, ni bora nimalize hasira zangu kwa style hii........
 
maendeleo ya nchi hayawezi kutegemea nguvu ya mtu mmoja tu. ni lazima kila mmoja wetu katika nafasi yake atimize wajibu ndiyo tutaona maendeleo.
wengi humu wana mavyeo makubwa na wakati mwingi wanakuwa ni watu wa malalamiko lukuki huku wakiwa hawatimizi wajibu wao. unaweza kuona baadhi ya kero zinazoongelewa zinawahusu baadhi yetu humuhumu JF.
udhaifu wa serikali unatokana pia na udhaifu wa wananchi. historia inaonyesha nchi zilizo na maendeleo kuna push kubwa toka kwa wananchi, na watu wanafanya kazi hawakai vijiweni kama bongo.

r u male or female,jipambanue haraka
 
sijui nikuite zezeta? Aggghhh!!!!!!
Mbona hayo tumeshayajadili sana humu. Huna jipya, Acha uvivu na tumia sehemu ya muda wako kujikumbusha threads zilizopita, siokutaka msaada kwetu sisi wa kukukumba kwa sababu ya uvivu wako.

Wenzio wanaorodhesha wewe unaropoka ropoka tu. Wewe ni mdogo/mtoto wa tambwe hiza nini?
 
Mpaka sasa sijaona sifa za kumfanya JK/Pinda/CCM kuendelea kubaki Ikulu. Ninaendelea hapa:
1. Kiongozi aliechaguliwa na NEC kuongoza Taifa zima - anapendekeza tume, NEC kujichagua yeye mwenyewe kama Mubarak
2. Mkiukaji wa haki za binadamu - alazimisha wananchi wanaotaka kumpinga lazima wapate kibali kwake mwenyewe
3. Hana quality ya leadership - lack of vision, anatumia udini na michanganyo kujipandisha umaarufu
4. Kiongozi wa CCM anaye ng'ang'ania madarakani akijua wananchi hawamtaki
5. Amesomea uchumi lakini anatumia Fisadi 101 kuwaibia watanzania
6. Anahakikisha siri za CCM na mafisadi hazitoki kwa wananchi. Tunawashukuru wote wapendao Taifa lao kutoa siri ili Taifa lijue kinachoendelea
7. Kiongozi anaye karibia kumfuata Mubarak na Ben Ali Saudi...
 
Back
Top Bottom