Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Wandugu,
Kumekuwa na malumbano kuhusu uwezo wa JK kuongoza nchi. Wengine wanamsifu na wengine wanajuta kuwa na rais wa aina yake. Mnaonaje tukiorodhesha hapa mambo ya msingi aliyofanya jk tangu alipochukua usukani wa kuongoza nchi yetu. Wenye kumbukumbu nzuri waorodheshe hapa. Yawe ni mambo ya msingi tu.