Wanaompinga Zitto kuutaka urais ni wahaini wa demokrasia ya ushindani

Kuna kundi dogo la watu ambalo linaonekana kuwa na mawazo mgando na kuwa na mtizamo hasi na Kijana wa ZZK hata kama akichangia jambo la maana kwa taifa letu. Kundi hilo linatamani kusikia tu kuwa Mh Zitto Kabwe kwa ridhaa yake mwenyewe ameamua kujivua nyazifa zake zote ndani ya chadema na pia kujivua uanachama wa chama hicho.

Hebu tuweni wazalendo Zitto naye ni Binadamu hata kama anahatarisha masilahi ya watu ndani ya chadema msimsakame kama wezi wa EPA na wafujaji wa fedha za maendeleo ya miradi ya afya, maji, elimu na kilimo.

Zitto kama mpigania rasilimali za taifa tumuunge mkono pale anapostahili na tumkosoe pale anapopotoka kwani naye ni Binadamu kama walivyo viongozi wengine ndani ya chadema na CCM@

kumsakama zitto kwa kashfa na shutuma zisizozakweli zinaboboma democracia ya kweli ndani ya nchi yetu. Tuungane pamoja kuwalaani wanaotamani kusikia Mh Zitto amejivua uwanachama wa chadema
Alishasema hawezi hama chadema
 
Alishasema hawezi hama chadema
hapo sasa ndio anawaumiza kichwa hawamtaki but hawawezi kumtimua kwa shutuma mbofumbofu kama za Ben Saanane hivyo wanakesha wakiomba utokee muujiza aseme anaachia ngazi kwa ridhaa yake mwenyewe
 
Kumbe ni wewe Mr Emmy!

Sasa kama kundi dogo mbona linakusumbua hadi umelianzishia thread?
 
Last edited by a moderator:
hapo sasa ndio anawaumiza kichwa hawamtaki but hawawezi kumtimua kwa shutuma mbofumbofu kama za Ben Saanane hivyo wanakesha wakiomba utokee muujiza aseme anaachia ngazi kwa ridhaa yake mwenyewe

Unachokataza kwamba kisifanyike kwa mtu hapo hapo unakifanya kwa mtu mwingine.What are you upto?

Ni lini ulishawahi kuichukia CCM na Ufisadi wake?Unaongelea Demokrasia na mabadiliko kama vile wewe ni mpenda mabadiliko kweli.Your previous poposts speaks louder....!
 
Mr Emmy hivi unakumbuka mwaka ambao shetani alianza kukemewa ? Iwe msikitini au kanisani ? Ukipata jibu hebu jifikirishe kidogo kwamba kwa nini hadi leo anaendelea kukemewa tu ?
 
Ni lini ulishawahi kuichukia CCM na Ufisadi wake?Unaongelea Demokrasia na mabadiliko kama vile wewe ni mpenda mabadiliko kweli.Your previous poposts speaks louder....!
Nawachukia wana CCM Mafisadi niko tofauti nao kabisa cwezi ichukia CCM kwa ujumla wake kuna wazalendo pia fatilia post zangu utaligundua hilo. Hata wewe naamini utakuwa unawachukia wanachedema wabakaji wa vitoto, mafisadi wa fedha za miradi ya maendeleo, wachumia tumbo na wezi wa wake za watu
 
Mr Emmy hivi unakumbuka mwaka ambao shetani alianza kukemewa ? Iwe msikitini au kanisani ? Ukipata jibu hebu jifikirishe kidogo kwamba kwa nini hadi leo anaendelea kukemewa tu ?
kosa langu hasa liko wapi kuweka ukweli hapa kuwa wanaomchukia Zitto wanatamani kusikia kajivua uanachama wa chadema? wewe ukiwa mweli ndani ya moyo wako utalitambua tu hilo kuwa kuna kikundi flani hapa JF wao ni kuumponda zitto kwa kila hoja anayokuja nayo na kumuita msaliti ilihali mamlaka ya kumvua uanachama hawana sasa kazi kwenu kumuomba shetani atimize ndoto zenu kwani ZZK alishasema haondoki cdm
 
......Hata wewe naamini utakuwa unawachukia wanachedema wabakaji wa vitoto, mafisadi wa fedha za
miradi ya maendeleo, wachumia tumbo na wezi wa wake za watu

Someone wrote here JF that the PM7 has never stood firmly bcoz was full of mediocre which depended on a single brain Ben Saanane. Such a post is credible verification. Any rational person will find that a post of this inclination are of no help to the political defunct zzk. What u r doing is like a groom trying to use Kaniki for a wedding ceremony!
 
Last edited by a moderator:
kosa langu hasa liko wapi kuweka ukweli hapa kuwa wanaomchukia Zitto wanatamani kusikia kajivua uanachama wa chadema? wewe ukiwa mweli ndani ya moyo wako utalitambua tu hilo kuwa kuna kikundi flani hapa JF wao ni kuumponda zitto kwa kila hoja anayokuja nayo na kumuita msaliti ilihali mamlaka ya kumvua uanachama hawana sasa kazi kwenu kumuomba shetani atimize ndoto zenu kwani ZZK alishasema haondoki cdm

Mr Emmy , wala huna kosa lolote kaka , bali hujajibu swali uliloulizwa , au wewe ni mpagani ? Maana nchi hii haina dini kaka .
 
Bwana Emmanuel Mwakajila, kwanza unajipa vyeo ambavyo hukuvitendea haki. Ukiwa mwenyekiti Bavicha mkoa wa Mbeya hukuwahi kuitisha kikao chochote wala kujenga chama kwa namna yoyote zaidi ya kuishi Dar es salaam ukiendelea na mambo yako mengine.

Wewe kama walivyo members wengi wa PM7, ni zao la waliokosa vyeo(ajira) na wakaamua kuonyesha hasira za wazi, kumbuka uliomba nafasi ya naibu katibu Bavicha.

Swali langu kwako ni hili, Je mwaka 2015 Zitto atakuwa na umri gani? iwapo 2015 umri wake utakuwa haujafika 40yrs atagombea urais upi?

Swali la pili: Zitto ni dini gani? hili linaweza kuonekana dhaifu lakini nguvu yake ni kubwa mno na ukweli ni kuwa kwa vyovyote, kwa mujibu wa katiba isiyoandikwa ni zamu ya Rais Mkristo. Ukitaka kuamini angalia wanaosikika kugombea urais kupitia CCM. so huoni Zitto hafai kugombea kwa sasa? Kutokana na ujinga wa Ponda na Yule gaidi mwenzake Farida wakristo hawatakubali kwa namna yoyote rais ajaye awe mwislamu. Udini umeanzishwa na wao wenyewe na Zitto ni mmoja wa viongozi wadini sana.

Jambo kubwa unalopaswa kujua ni kwamba chama kinajengwa kwanza halafu demokrasi inafuata, Chadema lazima kijue ni nani anastahili kugombea kwa sasa, kumbuka chadema ni chama chenye lengo la kuiondoa ccm madarakani, kimedhamiria na mambo yako wazi. so ni lazima kijue kinachotaka.
 
Una maana kuwa hata katiba ya nchi yetu haitaki demokrasia kwa kuzuia watoto walio chini ya miaka 40 kugombea urais?
 
hizo ni hisia zako tu Mr Emmy ni namba nyingine cwezi kuwa masalia ndani ya cdm mimi ni mwana harakati wa kweli ndani ya CCM nani mpiganaji wa kutetea wanyonge kamwe siwatetei mafisadi na majangiri
Tunauzoefu sasa na jinsi nods wanavyo operate haswa wakifanya ujasusi wao kuhusiana na certain characters za wana JF wanatupa vivid evidance kama hizi za kuunganisha thread za watu wanaoyumia multiple IDs
any way nasikitika sana tulikuwa tunakuona Mwakajila channel ten ukimwaga sera barabara za ukombozi wa nchi yetu maadamu umeamua kuwa masalia tunakutakia heri ndio njia ulyochagua,umekubali uzamishe nafasi yako kutumikia nchi yako kwa sababu ya rupia za masalia
 
quote_icon.png
By Mr Emmy [JFMP3]
PHP:
[QUOTE]hizo ni hisia zako tu Mr Emmy ni namba nyingine cwezi kuwa masalia ndani ya cdm mimi ni mwana harakati wa kweli ndani ya CCM nani mpiganaji wa kutetea wanyonge kamwe siwatetei mafisadi na majangiri

[/QUOTE]
[/JFMP3]Tunauzoefu sasa na jinsi nods wanavyo operate haswa wakifanya ujasusi wao kuhusiana na certain characters za wana JF wanatupa vivid evidance kama hizi za kuunganisha thread za watu wanaoyumia multiple IDs
any way nasikitika sana tulikuwa tunakuona Mwakajila channel ten ukimwaga sera barabara za ukombozi wa nchi yetu maadamu umeamua kuwa masalia tunakutakia heri ndio njia ulyochagua,umekubali uzamishe nafasi yako kutumikia nchi yako kwa sababu ya rupia za masalia
 
Watz ndo zetu.. Nyota ya mtu iking'aa sana majungu juu yake muhim ilimrad kumdondosha tu huyo mtu afu waanze kusema oooooh si tulisema flan hana lolote..hatujui kukubali,hatujui kusifia,hatujui kusupport ila ni kufuata mkumbo tuuuu.na tutabaki maskin hivi hivi, Zitto go on baba personally, I real appreciate ur gud job,usikatishwe tamaa na watu wasiojua hata wakiandikacho ilimradi ukweli wa mambo na ukifanyacho unajua ww na viongozi wako,hauwezi kumridhisha kila mtu
 
Back
Top Bottom