Wanaompinga DC Makonda: Baada ya kweka kambi kijijini : wakosa ushahidi warejea jijini kimya kimya

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
waandishi wa habari wa baadhi ya vyombo vya habari walioweka kambi kijijini kwa makonda wameshindwa kuthibitisha tuhuma za kutungwa na kurejea na visingizio kibao. na sasa Familia inajiandaa kuongea kueleza ukweli tuhuma za uzushi ili kufunga mjadala. Ni upepo

IMG_20170316_075836.jpg
 
Sasa kama wamekosa ushahidi weka vyeti maana kinachoongelewa ni vyeti, hao wazazi wake watafunga mjadala kwa kuweka vyeti hadharani?
 
waandishi wa habari wa baadhi ya vyombo vya habari walioweka kambi kijijini kwa makonda wameshindwa kuthibitisha tuhuma za kutungwa na kurejea na visingizio kibao. na sasa Familia inajiandaa kuongea kueleza ukweli tuhuma za uzushi ili kufunga mjadala. Ni upepo

IMG_20170316_075836.jpg
Bashite hana vyeti hata mkadanganye wapi haisaidii na sasa ndiyo mmekiwakisha haswa
 
Hawampingi ila wanataka kujuwa ukweli kushindwa kwao mpaka Bashite aonyeshe ukweli wake
waandishi wa habari wa baadhi ya vyombo vya habari walioweka kambi kijijini kwa makonda wameshindwa kuthibitisha tuhuma za kutungwa na kurejea na visingizio kibao. na sasa Familia inajiandaa kuongea kueleza ukweli tuhuma za uzushi ili kufunga mjadala. Ni upepo

IMG_20170316_075836.jpg
kuthibitisha
 
Sasa ndo nimeamini kweli huyu jamaa hana vyeti. Katika hali ya kawaida na kwa muda wote huo ambao tuhuma zimekuwa zikiendelea,basi angeshatoa vyeti vyake hadharani. Hana lolote huyu Bwana Bashite,ni kilaza mmoja aliyepata nafasi ya upendeleo kuiongoza Dar....
It's too weird Aisee!!! Hii inaonenakana hata aliyemteua naye ni vyeti vya kupikapika km siyo kuungaunga.. Hv kweli shule ilivyokuwa ngumu vile then usome mpaka upate Phd, leo uje umuajiri mtu ambaye hakufaulu hata kidato cha nne kwenye nafasi nyeti namna hii. Nimepata mashaka na shule ya aliyemujiri. Haiwezekani Hata!!!!!!!!!!!!!!!
 
waandishi wa habari wa baadhi ya vyombo vya habari walioweka kambi kijijini kwa makonda wameshindwa kuthibitisha tuhuma za kutungwa na kurejea na visingizio kibao. na sasa Familia inajiandaa kuongea kueleza ukweli tuhuma za uzushi ili kufunga mjadala. Ni upepo

IMG_20170316_075836.jpg
Hakuna cha kumaliza mjadala hatumalizi huo mjadala mpaka atuonyeshe vyeti huyo Bashite hata ikibidi miaka 10
 
Ewe Daudi Albert Bashite, kwa nini unakubali kudhalilishwa hivyo? Si ufungue kesi dhidi ya hawa watau wanaokuandika vibaya kila siku?Au unaogopa mahakama itakutaka uthibitishe kuwa wewe ni Paul Makonda wa ukweli?
Mkuu hana cha vyeti wala kitu gani
 
Back
Top Bottom