Wanaomba ajira TAMISEMI kwa mfumo wa ''OTEAS'' tukutane hapa

Mi kilichonichosha kwenye huu mfumo ni kitu kimoja tu , kwenye tangazo lao wameandika nafasi kwa masomo ya account , commerce agriculture science as well as economics

Lakini kituko kinakuja ukiingia ndani hakuna hiyo economics , commerce wala agriculture science , hii imepelekea mtu kuombea ajira somo la Geography ambalo ikiomba moja kwa moja unakuwa umeombea nafasi kwenye shule za msingi .

Hii siyo fair maana imeongeza ushindani lakini kwa baadhi ya watu imewa discourage maana wameingia lakini masomo waliotaka kuombea hayapo au wanalikuta moja ambalo ushindani wake ni mkubwa .
 
Mkuu umefanikiwa kuingia umetumia mbinu gani?. Mimi kila niliingia naishia kwenye mapulizo tu, na hayaondoki tafadhari nipe msaada.
 
Sawa ngoja nikupe mbinu niliyotumia
1) nimetumia simu achana na computer
2) hakikisha hyo simu ni sumsang kaa huna azima ata kwa mtu nakazia hapa hakikisha simu ni sumsang matecno yanazingua sana
3)tumia mtandao wenye nguvu unaoweza pandisha 4G
Afu utakuja niambia
 
Asante mkuu
 
Hakukuwa na ulazima wa kuponda matecno yetu
 
mm nlkosea kuweka taarifa kwa bahati mbaya mtu ambaye alikuwa aliyekuwa anansaidia internet cafe alkosea kuappload vyeti vyangu akappload vya mtu mwingine nafanyaje
 
Mbn kuna sehemu wamekwambia edit au huyo wa internet cafe anazngua
 
wakuu ukilog in kwenye general info wanataka majina matatu lakini kwenye cheti yako mawili so unafanyaje kwa mwenye taarifa
 
hiko kipengele cha taarifa binafsi hakina shida maaana unakijaza unavyojiregister sasa kutoka hapo ukilog in kwenye general info wanataka majina matatu ndo isonge mbele
Screenshot_20200909-212546.jpg
 
Back
Top Bottom