Wanaolia Ubaguzi (Ukabila) ndio Wabaguzi namba 1, ni projection

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Siku zote ukiona mtu analia lia sana na kulalamika kwamba yeye anatendwa mara nyingi sana yeye ndo anayetenda.

Hivyo wanaongoza kulia kuhusu huu unaoitwa ukabila fake, nasema fake kwa sababu karibia makabila yote Tanzania ni fake kwa maana hayakuwepo kwa jinsi ambavyo yako leo hii kabla la ukoloni.

Wengi wa haya makabila fake ambao wanalalamikia ukabila wao ndio wannaongoza was ukabila hapa Tanzania.

Kuna maeneo Tanzania huwezi hamia kama wewe sio wa hapo na kununua Kihamba au kiwanja na kujenga lakini wao wamejaa kila mahali wakilia ukabila, ni projection, wanachokifanya wanasingizia wengine ili waonekane wanaonewa wakati sio kweli.
 
Barbarosa,

Hata sijakuelewa

Unaongelea Ubaguzi upi?

1. Ukabila?
Kila siku utawasikia CCM wakiwasema wachaga. Mmoja mpaka aliapa, Rais hawezi kutoka Kaskazini.

2. Siasa?
CCM wanafanya siasa nchi nzima mikutano ya ndani na ya nje. Wengine ni vipigo, kesi na kila aina ya unyanyasaji.

3. Elimu?
CCM wamemzika Mlala hoi kwa Elimu bure, yahovyo isiyo na viwango

CCM ya sasa ni muasisi mkuu wa ubaguzi.
 
Wee ndogo kweli
Nilikuwa nakuona wa maana kumbe na wewe ni wale wale tuu.aliekuambia huwezi nunua kiwanja kule ni nani.kununua unawwza ila sema kule hakuna mwenye njaa ya kuuza kiwanja kama mikoa mingine ndio maana kule waliopo ni wenyeji tuu kwbza ukiuza wanakushangaa au kukutenga kabisa uuze kiwanja?aisee hii no aibu kwamchaga
Barbarosa
 
Ardhi ya kule kwenye vihamba sio kama mapori ya usukumani. Thamani yake hamuiwezi nyie malofa.
 
Suala la ubaguzi kwa Tanzania ni nadharia tu ila uhalisia sio kweli.Watanzania sisi ni wamoja bado ,wakati fulani najiulizaga Nyerere aliwezaje kutuunganisha hivi kwa pamoja tukawa ndugu na kitu kimoja.Mm toka milivyo toka nyumbani nikaingia kazini tena mkoa mwingne marafiki zangu wote wa kufa na kuzikana ni makabila tofaut.Nyerere Mungu ambariki sana
 
UBAGUZI NI KAMA HUU
F3515427-6298-4615-9C84-FAD151309F17.jpeg
 
Siku zote ukiona mtu analia lia sana na kulalamika kwamba yeye anatendwa mara nyingi sana yeye ndo anayetenda.

Hivyo wanaongoza kulia kuhusu huu unaoitwa ukabila fake, nasema fake kwa sababu karibia makabila yote Tanzania ni fake kwa maana hayakuwepo kwa jinsi ambavyo yako leo hii kabla la ukoloni.

Wengi wa haya makabila fake ambao wanalalamikia ukabila wao ndio wannaongoza was ukabila hapa Tanzania.

Kuna maeneo Tanzania huwezi hamia kama wewe sio wa hapo na kununua Kihamba au kiwanja na kujenga lakini wao wamejaa kila mahali wakilia ukabila, ni projection, wanachokifanya wanasingizia wengine ili waonekane wanaonewa wakati sio kweli.
Embu ongea vizuri mtoto mwanaume...Go straight acha kuzunguka zunguka
 
Akili ndogo, ulishawahi kununua kiwanja ukakosa? Nenda katembelee kuanzia maeneo ya Kawawa road mpaka kiboriloni utawakuta wasukuma wenzio wamejenga nyumba zao wanaishi na familia zao.
 
Siku zote ukiona mtu analia lia sana na kulalamika kwamba yeye anatendwa mara nyingi sana yeye ndo anayetenda.

Hivyo wanaongoza kulia kuhusu huu unaoitwa ukabila fake, nasema fake kwa sababu karibia makabila yote Tanzania ni fake kwa maana hayakuwepo kwa jinsi ambavyo yako leo hii kabla la ukoloni.

Wengi wa haya makabila fake ambao wanalalamikia ukabila wao ndio wannaongoza was ukabila hapa Tanzania.

Kuna maeneo Tanzania huwezi hamia kama wewe sio wa hapo na kununua Kihamba au kiwanja na kujenga lakini wao wamejaa kila mahali wakilia ukabila, ni projection, wanachokifanya wanasingizia wengine ili waonekane wanaonewa wakati sio kweli.
Kihamba yaani shamba la kurithi haliuzwi na pia ile ardhi ya mlimani Knjaro ni lulu, ukitaka kununua heka 1 uwe na 200M ndio maana watu hawawezi kununua kirahisi ni sawa na Oysterbay.
 
Wee ndogo kweli
Nilikuwa nakuona wa maana kumbe na wewe ni wale wale tuu.aliekuambia huwezi nunua kiwanja kule ni nani.kununua unawwza ila sema kule hakuna mwenye njaa ya kuuza kiwanja kama mikoa mingine ndio maana kule waliopo ni wenyeji tuu kwbza ukiuza wanakushangaa au kukutenga kabisa uuze kiwanja?aisee hii no aibu kwamchaga
Barbarosa
Kwani wanaouza viwanja ni njaa?? Wewe ndo akili huna,pwani ilikuwa ni fahari kumkirimu mgeni Kwa kumpa eneo la kujenga ndo maana hata ujenzi WA ubinafsi WA kuzungusha nyumba na fence haukuwepo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom