Wanaokuwa na Mahusiano kwa miaka mitatu na kuendelea kabla ya Kuoana, Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,369
108,413
Watafiti wameweka wazi kwamba wale Watu ( Wapenzi ) ambao huwa na Mahusiano kwa Miaka Mitatu na Kuendelea kabla ya Kufunga Ndoa wakija Kuishi pamoja Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo kiwatenganishe.

Wewe umeonana na Demu jana tu ( January ) mwezi ujao ( February ) unachumbia na mwezi March unafunga Ndoa kwanini isivunjike au mkafumaniana au hata mkaishia Kuchinjana tu hadi kutoana na ' Makolomero ' yenu na Kumkosea Mwenyezi Mungu?

Chanzo Taarifa: Mtandao wa TibaFasta.

Nawasilisha.
 
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasio oa somo liwaingie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya mambo ambayo huwa siyaelewi ni kumsikia kijana wa umri 28/30 anasema sina mchumba ama sijui ntaoa lini.
Tatizo vijana siku hizi wachumba wanawatafuta wakati kunapoanza kukucha,fikiria mtu anaanza kutafuta mwanamke serious akiwa aged 28/30 utegemee akae miaka sita akisubiri si atakuja kulea wajukuu?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi urafiki unakuwa wa muda mrefu hivyo kwa sababu ya access ya ngono. Mwanaume akipewa papa akili inatulia, hawazi tena mambo ya kuoa, ndio maana mahusiano mengi siku hizi yanakuwa sugu hadi kufikia ndoa.

Naamini urafiki wa miezi sita-mwaka unatosha sana, then process za uchumba zianze.
 
Watafiti wameweka wazi kwamba wale Watu ( Wapenzi ) ambao huwa na Mahusiano kwa Miaka Mitatu na Kuendelea kabla ya Kufunga Ndoa wakija Kuishi pamoja Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo kiwatenganishe.

Wewe umeonana na Demu jana tu ( January ) mwezi ujao ( February ) unachumbia na mwezi March unafunga Ndoa kwanini isivunjike au mkafumaniana au hata mkaishia Kuchinjana tu hadi kutoana na ' Makolomero ' yenu na Kumkosea Mwenyezi Mungu?

Chanzo Taarifa: Mtandao wa TibaFasta.

Nawasilisha.
Naunga mkono hoja

Mkorintho wa 6
 
Back
Top Bottom