GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,516
- 108,790
Watafiti wameweka wazi kwamba wale Watu ( Wapenzi ) ambao huwa na Mahusiano kwa Miaka Mitatu na Kuendelea kabla ya Kufunga Ndoa wakija Kuishi pamoja Ndoa zao huwa na Mafanikio na hawaachani hadi Kifo kiwatenganishe.
Wewe umeonana na Demu jana tu ( January ) mwezi ujao ( February ) unachumbia na mwezi March unafunga Ndoa kwanini isivunjike au mkafumaniana au hata mkaishia Kuchinjana tu hadi kutoana na ' Makolomero ' yenu na Kumkosea Mwenyezi Mungu?
Chanzo Taarifa: Mtandao wa TibaFasta.
Nawasilisha.