Wanaokutwa na fumanizi la SHILAWADU 'wanajitakia' na wanalipia kipindi

Waacheni vijana watafute ugali,mjini pagumu....Shilawadu nawaona nawaona mzee wa kuzungusha Nikki Bashite.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shilawadu waendelee tu mkuu. Lengo la uzi ni kuwatoa wasiwasi kwamba maisha yaendelee mjin bila hofu ya fumanizi kwakua fumanizi linafanyika kwa consultation.

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Back
Top Bottom