#COVID19 Wanaokataa chanjo ya COVID-19 sio Tanzania tu, Marekani watu Milioni 100 wamegoma kuchanjwa

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,609
2,000
Hahahaha eti nimepanick 🤣🤣🤣🤣🤣 ukiokoteza habari mtandaoni basi lete habari iliyokamilika badala ya kuja kutaka kupotosha watu humu. Huyo mchumba wake anajua binadamu wote tutakufa lakini ME wake kafa kutokana na corona hivyo kama wasingeamua kusubiri na hivyo kupata chanjo basi hata kama angepata inaweza kabisa ingekuwa mafua ya kawaida tu ambayo yasingehitaji kwenda hata hospitali na ndiyo sababu kachukua hatua muafaka za kuhakikisha yeye na mtoto wao ambaye ni 17 YO wanapata chanjo.
Unatoka nje ya mada, usipanic. Hakuna haya ya kushambuliana hapa, nimekujibu ulichokiandika, basi.

Ahsante.
 
Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,866
2,000
Hahahaha eti nimepanick 🤣🤣🤣🤣🤣 ukiokoteza habari mtandaoni basi lete habari iliyokamilika badala ya kuja kutaka kupotosha watu humu. Huyo mchumba wake anajua binadamu wote tutakufa lakini ME wake kafa kutokana na corona hivyo kama wasingeamua kusubiri na hivyo kupata chanjo basi hata kama angepata inaweza kabisa ingekuwa mafua ya kawaida tu ambayo yasingehitaji kwenda hata hospitali na ndiyo sababu kachukua hatua muafaka za kuhakikisha yeye na mtoto wao ambaye ni 17 YO wanapata chanjo.
1. Sijaokoteza habari mtandaoni, hii habari nimeitoa kwenye credible source na nimeweka link unaweza kujisomea mwenyewe.

2. Nilichokujibu wala sio sehemu habari niliyoileta humu, nimekujibu kuhusu ulichokisema kutoka kwa mchumba wake huyo. Ukasema kama angechanjwa asingekufa, nikakupa angalizo kua hata ukichanjwa bado covid inaweza kukuua, kuchanja sio guarantee ya 100% kua covid haitakuua. Nikaishia hapo.

Haya yote unayoyaleta nashindwa kujua umeyatoa wapi ama yanatoka wapi.

Naomba niishie hapa. Unaweza kuendelea utakavyoona inafurahisha nafsi yako.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,609
2,000
Habari yako haikukamilika kwa sababu alichosema Dr Fauci hukuweka katika ukamilifu wake kwanini kasisitiza watu washawishiwe kupata chanjo. Data kutoka CDC aliongeza Dr Fauci zinaonyesha waliopata chanjo hata kama wataugua corona basi wengi hawahitaji kwenda hata hospitali na pia akaongeza wasio na chanjo ná wanaujua corona wanalazwa 97% hivyo wenye chanjo wanaolazwa ni 3% wanaokufa baada ya kupata Covid wasio na chanjo ni 99% wakati wale wenye chanjo ni 1%
Habari nusu nusu ZINAPOTOSHA wasomaji. Unapoleta Habari hapa jamvini hakikisha umeileta kwa ukamilifu wake si kuchagua tu yale uyatakayo wewe.

Naomba nikujibu ya mwisho.

Kwenye mada yangu sikuzungumzia wanaokufa ama wanaolazwa ama asilimia za wanaochanjwa na kulazwa sijui kufa, nimeongelea wanaokataa chanjo ambao Dr. Fauci anataka washawishiwe kuchanjwa.

Taarifa inachanganya nini? Ndio maana nimeweka link hapo utasoma habari yote.

Jitahidi kua unasoma na kuelewa.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,609
2,000
Do you research properly. You could have ask yourself why Dr Fauci was insisting for more Americans to be vaccinated and VOILA! There is your answer. USIRUDI TENA 🤣🤣🤣🤣
Naomba nikujibu ya mwisho.

Kwenye mada yangu sikuzungumzia wanaokufa ama wanaolazwa ama asilimia za wanaochanjwa na kulazwa sijui kufa, nimeongelea wanaokataa chanjo ambao Dr. Fauci anataka washawishiwe kuchanjwa.

Taarifa inachanganya nini? Ndio maana nimeweka link hapo utasoma habari yote.

Jitahidi kua unasoma na kuelewa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom