WANAOJUA SHERIA , KUNA PESA YA BURE AIRTEL

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007
Kwa wataalam wa sheria za kibiashara mnaweza kulivalia njuga hili la makampuni ya simu kulala na kuamka nabei mpya za vifurishi hovyo hovyo kila siku bila kuwa na price stability, hii ni disturbance kwa wateja hasa wale wanaotumia simu zao kwa shyghuli za kiuchumi kama kazi na biashara.
Tujiulize waTanzania kama haya makampuni yanaishi hivyo huko nchi za watu wanaojitambua.?
Mbali na kusumbua kwa bei zao mpya kila wakijisikia kufanya hivyo, je ni nani anawapa ruhusa ya kutuma tuma meseji za kibiashara kwa wateja hovyohovyo bila ridhaa yao?
Apatikane mjuzi mmoja wa sheria akiwa yoosha hata milioni 100 hivi mahakama ya biashara wataacha upuuzi wao huo,
 
Back
Top Bottom