Wanaojiunga na vyuo vya afya vya serikali yalishatoka?

Rwebo

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
973
1,135
Ndugu zangu nauliza kama matokeo ya wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya afya vya serikali mwaka huu 2019 kama yalishatoka. Kama yalishatoka nayapata wapi?
 
Kama ni vya nacte mkuu yalishatoka na watu wameshanda vyuoni mbona
 
Back
Top Bottom