Wanaojitolea sehemu mbali mbali nchini kama wanataka ajira waache kujitolea

fullcup

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
806
2,181
Ili kufikia malengo yetu yakuishi kwakunufaika na elimu zetu ni lazima tufanye kazi na kulipwa kulingana na taaluma.

Bora wakaajiriwa hata wachache lakini wanaolipwa kulingana na taaluma. Leo hata shule na sekta binafsi wanaajiri kwamishahara midogo kisa vijitamaa, tuache ili hata waajiri wapne thamani yetu.

Kuna vijana niliwahi kuwaambia hili suala lakini hawakunielewa...Anyway wacha wafanye kazi ila kuna muda ukifika watajutia sana muda walioupoteza,Kwa maana serikali itakuwa nzito sana kuajiri walimu wapya maana wanaojitolea tu wanaziba mapengo yote. Pia hata wanaojitolea private nawasikitikia sana utakuta mtu ni Degree holder kabisa na anafanya kazi zaidi ya mwalimu aliyeajiriwa kwa mshahara wa chini ya 100k SO SAD
 
Usipende kuona thinking iliyopo kichwani mwako bora kuliko mwengine.
 
Ila wakati mwingine upepo nao hubadilika...

Dk 5 sio nyingi utasikia wale waliojitolea wanachukuliwa.
 
Ili kufikia malengo yetu yakuishi kwakunufaika na elimu zetu ni lazima tufanye kazi na kulipwa kulingana na taaluma.

Bora wakaajiriwa hata wachache lakini wanaolipwa kulingana na taaluma. Leo hata shule na sekta binafsi wanaajiri kwamishahara midogo kisa vijitamaa, tuache ili hata waajiri wapne thamani yetu.

Mkuu inategemea na sehem unayojitolea na maslah unayopata, kifupi mimi niliwah jitolea shule moja ya msingi nilikua silipwi chochote na mkuu wa shule ,lakini nilifanikiwa kutengeneza jina kupitia kufundsha kwangu na kuweza kuingiza kias kizur tu cha pesa kila siku. MAFANIKIO YA MTU YAPO NDANI YA UWEZO WAKE WA KUFIKIRIA
 
Usipende kuona thinking iliyopo kichwani mwako bora kuliko mwengine.
Halafu wewe jamaa,kila mada inayohusu kuwaondoa Vijana kwenye Unyonyaji lazima utie mdomo wako kupinga,unafurahi sana Vijana wenzetu wanavyoteseka sio?
 
Hawana hata mshipa wa aibu yaani uko ofisini umechomekea hupati hata 100 ,umekomaa tu huku wenzako wanalipwa mshahara,.Ila haya yote yametokea sababu ya uongozi mbovu wa Magufuli
 
Back
Top Bottom