fullcup
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 806
- 2,182
Ili kufikia malengo yetu yakuishi kwakunufaika na elimu zetu ni lazima tufanye kazi na kulipwa kulingana na taaluma.
Bora wakaajiriwa hata wachache lakini wanaolipwa kulingana na taaluma. Leo hata shule na sekta binafsi wanaajiri kwamishahara midogo kisa vijitamaa, tuache ili hata waajiri wapne thamani yetu.
Bora wakaajiriwa hata wachache lakini wanaolipwa kulingana na taaluma. Leo hata shule na sekta binafsi wanaajiri kwamishahara midogo kisa vijitamaa, tuache ili hata waajiri wapne thamani yetu.
Wanaojitolea mashuleni waache mara moja la sivyo serikali haitaona umuhimu wa kuajiri.
Serikali kwa miaka mitano mfurulizo haikuajiri na wala haioni umuhimu huo kutokana na matokeo bora mashuleni. Kuna shule zina walimu watatu wakuajiriwa na saba wakujitolea na zinafanya vema matokeo ya mitihani yataifa. Kutokana na ufaulu huo serikali haioni umuhimu wakuajiri wakati wanafikia...
www.jamiiforums.com