Wanaojitolea sehemu mbali mbali nchini kama wanataka ajira waache kujitolea

fullcup

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
294
1,000
Ili kufikia malengo yetu yakuishi kwakunufaika na elimu zetu ni lazima tufanye kazi na kulipwa kulingana na taaluma.

Bora wakaajiriwa hata wachache lakini wanaolipwa kulingana na taaluma. Leo hata shule na sekta binafsi wanaajiri kwamishahara midogo kisa vijitamaa, tuache ili hata waajiri wapne thamani yetu.

Niite Profesa

Member
Jun 19, 2015
42
125
Kuna vijana niliwahi kuwaambia hili suala lakini hawakunielewa...Anyway wacha wafanye kazi ila kuna muda ukifika watajutia sana muda walioupoteza,Kwa maana serikali itakuwa nzito sana kuajiri walimu wapya maana wanaojitolea tu wanaziba mapengo yote. Pia hata wanaojitolea private nawasikitikia sana utakuta mtu ni Degree holder kabisa na anafanya kazi zaidi ya mwalimu aliyeajiriwa kwa mshahara wa chini ya 100k SO SAD
 
Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,267
2,000

Usipende kuona thinking iliyopo kichwani mwako bora kuliko mwengine.
 
sala na kazi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,884
2,000
Ila wakati mwingine upepo nao hubadilika...

Dk 5 sio nyingi utasikia wale waliojitolea wanachukuliwa.
 
Pine Valley

JF-Expert Member
Nov 30, 2020
978
1,000
Ili kufikia malengo yetu yakuishi kwakunufaika na elimu zetu ni lazima tufanye kazi na kulipwa kulingana na taaluma.

Bora wakaajiriwa hata wachache lakini wanaolipwa kulingana na taaluma. Leo hata shule na sekta binafsi wanaajiri kwamishahara midogo kisa vijitamaa, tuache ili hata waajiri wapne thamani yetu.

Ni kweli , huu upuuzi WA kujitolea mnanyonywa , rubbish , yaani mtu umesoma miaka your hiyo uje ulitumikie lifala limoja for five years kujitolea ,hii ni modern day slavery
 
Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,614

Mkuu inategemea na sehem unayojitolea na maslah unayopata, kifupi mimi niliwah jitolea shule moja ya msingi nilikua silipwi chochote na mkuu wa shule ,lakini nilifanikiwa kutengeneza jina kupitia kufundsha kwangu na kuweza kuingiza kias kizur tu cha pesa kila siku. MAFANIKIO YA MTU YAPO NDANI YA UWEZO WAKE WA KUFIKIRIA
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
16,245
2,000
Usipende kuona thinking iliyopo kichwani mwako bora kuliko mwengine.
Halafu wewe jamaa,kila mada inayohusu kuwaondoa Vijana kwenye Unyonyaji lazima utie mdomo wako kupinga,unafurahi sana Vijana wenzetu wanavyoteseka sio?
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
16,245
2,000
Ni kweli , huu upuuzi WA kujitolea mnanyonywa , rubbish , yaani mtu umesoma miaka your hiyo uje ulitumikie lifala limoja for five years kujitolea ,hii ni modern day slavery
Kuna dogo mmoja nilikuwa nae kwangu alikuwa anafanya huo upuuzi wa kujitolea kwa miaka 3 bila ajira na mpaka ikafikia hata hela ya kununua suruali hana. Nikamwambia huo ni utumwa mamboleo,kaa home nikutafutie Bajaji upige kazi acha undezi.
 
Chris wood

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
912
1,000
Hawana hata mshipa wa aibu yaani uko ofisini umechomekea hupati hata 100 ,umekomaa tu huku wenzako wanalipwa mshahara,.Ila haya yote yametokea sababu ya uongozi mbovu wa Magufuli
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom