Ukiingiziwa hela si yako unarejeshaSio kupokea bali wameingiziwa, sasa ukiingiziwa hela utazikataa? Mimi siyakubali matoke0 na hata ukiniingizia hela nazila tu maana cha Mlevi huliwa na Mgema.
Ukiingiziwa hela si yako unarejeshaSio kupokea bali wameingiziwa, sasa ukiingiziwa hela utazikataa? Mimi siyakubali matoke0 na hata ukiniingizia hela nazila tu maana cha Mlevi huliwa na Mgema.
Unamambo ya kimama je, kwani uongo?!Umemaliza?
Nawasubiri Matola na Salary slip wewe hata Makene hakujui!
Sawa kabisaa hujakosea, sasa hebu tueleze hilo takwa la kisheria jinsi linavyotoa haki kwa chama fulani kupata ruzuku na vingine kukosa sheria imetoa vigezo gani hapo?Bila kuathiri msimamo wangu wa kutoshabikia vyama vya siasa, naomba kukukumbusha kuwa Ruzuku wanayopokea vyama vya siasa sio hisani ya chama tawala, ni takwa la kisheria, lakini kubwa zaidi ruzuku ni kodi ya watanzania sio fedha inayotokana na michango ya chama tawala. PERIOD.
Kwahiyo watu haturuhusiwi kujadili mambo ya CHADEMA mkuu?Unamambo ya kimama je, kwani uongo?!
Ukilala chadema ukiamka Mbowe.. Tafuta bwana uolewe utulie bi, dada.
Kabisaaaa, pesa halali zinazotokana na idadi ya kura za wabunge na madiwani waloshiriki katika uchaguzi Mkuu halali kwa mujibu wa sheria. Ni haki ya msingi ya kikatiba ya Chama Cha siasa kilichotimiza vigezo kama chademaKuna jambo huko Lumumba hamlielewi, mnadhani pesa ya ruzuku ni ya kwenu, wacheni kujidanganya, ruzuku ni pesa za walipa kodi wanazokatwa na serikali; hiyo sio pesa ya serikali ya CCM, ni pesa ya wananchi hivyo Chadema wana haki ya kuichukua.
Kwani wewe ulivyoolewa na kubenea umetulia?Unamambo ya kimama je, kwani uongo?!
Ukilala chadema ukiamka Mbowe.. Tafuta bwana uolewe utulie bi, dada.
Nakuibia siri tu.
Hapa JF inaendeshwa kura ya siri ya kutafuta ni nani anaongoza kuanzisha thread za kipumbavu.
Mpaka sasa UNAONGOZA Mama.
Naam tujadri sasa ya CCM.Mbona unapanic mkuu, nimekuuliza haturuhusiwi kujadili mambo ya chadema na Mbowe humu?
Wingi wa ruzuku ya ccm ni takwa la kisheria Kama vile ilivyo kwa chadema wanavyopata ruzuku kwa matakwa ya kisheria na si kwa huruma ya chama tawala.
Swali je Kama chadema inapokea ruzuku kutokana na matakwa ya kisheria baada ya uchaguzi ambao wao wamesema hawautambui je uhalali wa kupokea pesa hizo za kidhalimu zenye harufu ya damu za watu na kila aina ya dhuluma Kama walivyo tuaminisha wanautoa wapi?
Kwa chama chenye Wabunge na Madiwani mkuu.Kuna jambo huko Lumumba hamlielewi, mnadhani pesa ya ruzuku ni ya kwenu, wacheni kujidanganya, ruzuku ni pesa za walipa kodi wanazokatwa na serikali; hiyo sio pesa ya serikali ya CCM, ni pesa ya wananchi hivyo Chadema wana haki ya kuichukua.
mkuu mzigo tayari umeshaingia,kama unavyotoa ushauri,washauri viongozi warudishe pesa haramu hiyoBadala ya kuleta ushahidi wa CHADEMA kupokea hiyo ruzuku, unataka sisi ndio tutafute ukweli ili hali wewe ndio umeleta hii habari!
Hata hivyo, hilo likitokea sitashangaa kwani niliwahi tabiri jambo kama hilo kufanywa.
Duuh mkuu naona unapuyanga na kuvamia kila hoja huku hoja za msingi ukizikimbia.Naam tujadri sasa ya CCM.
Sheria hipi inayowapa CCM ruzuku pesa nyingi. Kule kutumia vyombo vya dolla kupiga risasi watu kwenye uchaguzi na kujijazia kura kwenye mabegi meusi na kulazimisha CCM iwe na Wabunge wengi ili ipate Ushindi? Ndio munaita ruzuku kisheria.. Mnajua nyinyi MaCCM akili zenu azina akili kabisa.
Muache kutupigia kelele humu.
CCM ni GENGE la MIJIZI ya kodi zetu.
Nani CHADEMA?
Chadema wakitaka lao misemo na nahau nyingi.
Kwani ruzuku ni hisani ya magufuli au ipo kisheria na imetokana na Kodi za wananchi wenye itikadi tofauti acha uzwazwaNimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar.
Kigezo ni kwamba Chadema na ACT wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi"
Wanachosahau makamanda wa Chadema ni kuwahoji viongozi wao kama hawajapokea ruzuku ya mwezi November kutoka serikalini.
Ikumbukwe kuwa ruzuku ni zao la kura na idadi ya wabunge na madiwani ambao chama kimepata kwenye uchaguzi mkuu.
Natumai Matola na Salary slip mtauhoji uongozi kwa niaba yetu.
Maendeleo hayana vyama!
Ruzuku inatoka na Kodi za wananchi ambao wanachangia na Wana itikadi tofauti tofauti sio hisani au zawadi na ipo kikatibaDuuh mkuu naona unapuyanga na kuvamia kila hoja huku hoja za msingi ukizikimbia.
Okay, Kama ccm wametumia Dolla, Kura kwenye mabegi meusi, wizi wakutisha n.k ili kujijazia wabunge wengi ili wazoe ruzuku na CHADEMA nao wakatamka hadharani kuwa hawautambui uchaguzi huo na hawatambui matokeo yoyote hata ya yule mbunge wao na madiwani wao sasa uhalili wa wao kuipokea hiyo ruzuku ya kidhalimu namna hiyo wameupata wapi?
Na kwanini wapokee ruzuku ikiwa hawatambui matokeo yoyote ya huo uchaguzi?
Okay, kwanini Chauma, TLP, NCCR n.k hawapati Ruzuku alafu ccm, Cuf , chadema n.k wanapata ruzuku?Ruzuku inatoka na Kodi za wananchi ambao wanachangia na Wana itikadi tofauti tofauti sio hisani au zawadi na ipo kikatiba
Inaonekana ni mchanga Sana kwenye kisiasa Kama hujui kwanin vyama vinapewa ruzuku na vingine havipewi pole sanaOkay, kwanini Chauma, TLP, NCCR n.k hawapati Ruzuku alafu ccm, Cuf , chadema n.k wanapata ruzuku?
Kama Ruzuku ni takwa la kikatiba tu lisilokuwa na vigezo vyovyote kwanini hao wapate na wengine wasipate Kuna vigezo gani vilivyo wapa hao na wengine kukosa?
Swadaktaa, hiki ndicho nilichokuwa nataka unijibu hiki.Inaonekana ni mchanga Sana kwenye kisiasa Kama hujui kwanin vyama vinapewa ruzuku na vingine havipewi pole sana
Iko hivi Chama chenye wawakikishi bungeni ndo vinapewa ruzuku, hivyo chauma, tlp au nccr havina muakilishi bungeni ndo maana havipewi
Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar.
Kigezo ni kwamba Chadema na ACT wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi"
Wanachosahau makamanda wa Chadema ni kuwahoji viongozi wao kama hawajapokea ruzuku ya mwezi November kutoka serikalini.
Ikumbukwe kuwa ruzuku ni zao la kura na idadi ya wabunge na madiwani ambao chama kimepata kwenye uchaguzi mkuu.
Natumai Matola na Salary slip mtauhoji uongozi kwa niaba yetu.
Maendeleo hayana vyama!