wanaoingia guest house wengi wana pete za ndoa za nini??

Labda ndio wanaoruhusiwa kuingia,kama hauna haurusiwi kuingia.Fnaya bidii na wewe upate yako usije ukazuiwa kutumia guest...Yallaah.
 
Kwani ni kosa kwa mtu mwenye pete ya ndoa kuingia guest house? Labda utoe ufafanuzi wa kutosha kuhusu sentensi yako. Kwa mfano kwako ni Tabora umeenda Musoma na haumjui mtu yeyote hautalala guest house kwa sababu una pete ya ndoa?.
 
Basi leo pdidy kaenda guest tutakoma humu jamvini

shantel ntake radhi ya kichaga niliingia 2007 mara ya mwisho sijui kama vile vitanda wamesharekebishaga embu nipe info kidogo
vya kulia kwisi kusu kwisi kuso
 
Back
Top Bottom