Wanaoimizwa na kauli ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ujue imewagusa

Mwakiembee baba laoo
Maconda baba laooo
Magufuli baba laooo

Ooopss sorry kumbe sina hata kadegree!!!
Huu wimbo sijui niufute!?

In Diamond Platinum voice.
 
Acheni hizo wadau, ukitajwa jina lako payuka lakini kama hujatajwa nadhani upige kimya. Waziri kasema vizuri mtu atashitakiwa pale atakapokwenda kinyume na utamaduni wa kitanzania lakini sio kwa kuikosoa serikali, ila unapokosoa pia kosoa kwa weledi sio kwa matusi halafu unasema umeikosoa serikali, unafikiria matusi nani atakusikiliza zaidi ya kukuweka ndani?

Badilikeni.
Kwanini nawewe usipige kimya, nini kilichokugusa hapo?
 
Kwanini wanaposifia serikali hawaambiwi wakajielimishe kwanza ndio waweze kusifia wanavyovijua? Hao wnaoimba mapambio ya kusifu wameelimika?

Unazijua kazi za mbunge? Sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu,je hao nao kama washauri wa serikali na wakosoaji pia ni lini huyo Waziri amewataka wakajielimishe?

Ukiwa mjinga usilazimishe kila mtu afanane na wewe!
Mmekimbia serikali za mitaa sasa mnatafuta pa kuingilia. Haoooo
 
hivi wale wasiojua hata kuandika akina konde boy nao wana degree 4?
 
Kwanini wanaposifia serikali hawaambiwi wakajielimishe kwanza ndio waweze kusifia wanavyovijua? Hao wnaoimba mapambio ya kusifu wameelimika?

Unazijua kazi za mbunge? Sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu,je hao nao kama washauri wa serikali na wakosoaji pia ni lini huyo Waziri amewataka wakajielimishe?

Ukiwa mjinga usilazimishe kila mtu afanane na wewe!
 
Hapa jamaa ameprove failure kwenye usomi wake.
Watu huwa wanachanganya kati ya elimu na akili, kuna watu wana akili kuliko hata wewe mwenye degree zako.
 
Sisi darasa la saba ndio tunamlipa mshihara mwambie awe na adabu basi!!
 
Mnataka msifiwe tu na sio kukosolewa, mnafahamu kazi za wasaniii nyinyi? Au mnajua kuitwa tu babalao?
 
Hapa jamaa ameprove failure kwenye usomi wake.
Watu huwa wanachanganya kati ya elimu na akili, kuna watu wana akili kuliko hata wewe mwenye degree zako.
Wewe ni boya kama huna akili huwezi kupata elimu lazima utaishia lanne kama wewe
 
Kupitia comments zako zinaprove wewe ni mtu wa aina gani, kwahyo kushindana na wewe ni kupoteza muda. Ngoja nibakie na uboya wangu
Unaogopa nini tuendelee huku hakuna wamuuliza mtu kwanini umejibu hivi wewe endelea tu ucjali
 
Unaogopa nini tuendelee huku hakuna wamuuliza mtu kwanini umejibu hivi wewe endelea tu ucjali
Sijawahi kumwogopa mtu hata siku moja bali huwa naheshimu kila wazo la mtu. Siwezi kupoteza muda wangu kubishana na mtu ambaye habishani kwa hoja bali kazi yake ni kuropoka tu "wewe jinga!" "wewe ni boya!"........................
Unaweza ukatumia nguvu nyiiingii kushindana na mtu kumbe unashindana na mtoto mdogo, Nna mambo mengi ya kufanya kuliko haya, ndiomana nikasema ngoja niendelee kubaki na uboya wangu ili nyinyi wenye degree nne muendelee na mjadala. Siku njema!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom