Wanaoijua Katiba Vizuri, Tujuzane

Hans Miki

Member
May 30, 2017
12
28
Hivi waziri katika serikali ya Tanzania anaruhusiwa kusaini mikataba/kufanya makubaliano ya aina gani bila kumshirikisha Rais na kusaini mikataba/kufanya makubaliano ya aina gani mpaka (lazima) kumshirikisha Rais?
 
KATIBA INAPASWA KUWA SEHEMU YA MITAALA YETU KUANZIA SHULE YA MSINGI.
 
Joka mwenye makengeza ametoa mwanga. Yeye anadai amesaini mikataba kwa amri ya mkubwa wake. Maana yake Rais lazima awe na uelewa wa mikataba inayohusu taifa na maslahi yake na kuruhusu isainiwe. Kama anasaini yeye au mtu mwingine (waziri/Mwanasheria Mkuu/Katibu Mkuu) ni suala lingine. Inategemea na uzito wa maslahi na nafasi ya mtia saini. Kwa Bongo, chini ya Fisiem baada ya Mwalimu Nyerere hakuna mtia saini aliyeachwa lofa baada ya kumwaga wino. Hivyo, tumbo kwanza, maslahi ya Taifa baadaye, na pengine maslahi ya Taifa si lazima!
 
Mbona tumeishaambiwa kuwa katiba imewekwa pembeni nchi inanyooshwa kwanza, kwa hiyo tulia kwanza tunyooshwe
 
Back
Top Bottom