Hivi waziri katika serikali ya Tanzania anaruhusiwa kusaini mikataba/kufanya makubaliano ya aina gani bila kumshirikisha Rais na kusaini mikataba/kufanya makubaliano ya aina gani mpaka (lazima) kumshirikisha Rais?
Joka mwenye makengeza ametoa mwanga. Yeye anadai amesaini mikataba kwa amri ya mkubwa wake. Maana yake Rais lazima awe na uelewa wa mikataba inayohusu taifa na maslahi yake na kuruhusu isainiwe. Kama anasaini yeye au mtu mwingine (waziri/Mwanasheria Mkuu/Katibu Mkuu) ni suala lingine. Inategemea na uzito wa maslahi na nafasi ya mtia saini. Kwa Bongo, chini ya Fisiem baada ya Mwalimu Nyerere hakuna mtia saini aliyeachwa lofa baada ya kumwaga wino. Hivyo, tumbo kwanza, maslahi ya Taifa baadaye, na pengine maslahi ya Taifa si lazima!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.