Wanaohitaji Windows 8 final professional x86 (32bit) pata hiyo kitu

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,504
646
CLICK HERE TO DOWNLOAD Windows 8 Final Pro . Size=2.42GB Tumia Tixati au uTorrent kudownload hiyo kitu ili tuweze kupata seeds na peers nyingi kwa manufaa ya wote kumbuka hii kitu iko na key Pamoja na Activator moja kwa moja
 
aktiveta ipo niliipata kwenye post 1 nadhani ni ya MziziMkavu au e2themiza ngoja njaribu kuipandisha

mkuu mimi nimepitia pitia net nkaja gundua windows 8 ina activator feki nyingi au lugha nyengine microsoft wametrick ukitumia inakuambia activated kumbe machine kiuhalisi haipo activated.

Nasubiria december maana ile activator ya humu ni ya 31 october ina maana kama ni fake by 30 november au 1 december watadakwa.
 
Last edited by a moderator:

wadau hakuna mwenye direct link maana torent kwa huku kwetu ni hatari na zbigz speed haivuki 200KBps
 
Haka kawindows 8 kamekataa desktop yangu kwa hiyo acha mi nikomae na win7 mpaka hapo nitakapopata PC ambayo ni compatible na windows 8
 
Back
Top Bottom